Hili tamasha la Wasafi nadhani liitwe Diamond Festival na sio Wasafi Festival

Hili tamasha la Wasafi nadhani liitwe Diamond Festival na sio Wasafi Festival

Hivi wasanii wa sasa na old wapi watu wanamzuka nao? We umezaliwa lini?
 
45% ni hisa ndogo?! Sema unatania!
Sitanii mm kwa kua naskia wenye hisa wapo3 na mondi ndo mwenye hissa ndogo zaidi akifautiwa na kusaga zaidi ya hapo sijui kwakua si mfatiliaji wa bongo fleva
 
Masikiniiii angalia viewers wa YouTube huko upagawe.
Hapo hatujagusa Wasafi tv na Fm.
Leo wanakusanya zaidi ya 500 million PPV za Azam sijui nisemeje.
Visimbuzi vingine kama DSTV, STARTIMES na ZUKU hahahaha

Ukishaona jiulize anayestahili kuacha hii biashara ni Channel 10, Star tv, Clouds tv na +, TV E, TBC au Wasafi TV kisha unipe jibu
[emoji23] media inawasemaji ile kila kona, sawa bwana Assad mussa Assad was wasafi media
 
w
Sitanii mm kwa kua naskia wenye hisa wapo3 na mondi ndo mwenye hissa ndogo zaidi akifautiwa na kusaga zaidi ya hapo sijui kwakua si mfatiliaji wa bongo fleva
Mke wa Kusaga (na sio Kusaga) ana 53%! Watu wanamchukulia poa yule Mngazija kwa sababu hawaifahamu familia yake... in short, mke wa Joe kwao wana pesa!! So, zile 53 zinaweza kuwa kweli ni za Kusaga au hata mke wake Kusaga (ndie aliye kwenye mafaili) kwa sababu na yeye pesa ipo!!

Mwenye hisa chache ni mzee mmoja wa Kizanzibari, yeye ana 2%!! Huyu mzee I think ana uhusiano fulani na mke wa Kusaga manake kwenye issues nyingi za mke wa Kusaga, yule babu yupo!!

Diamond anazo 45%.
 
Nasikia,japo sijui kwakua si mfatiliaji wa bongo flava..

Unajua ulicho kiandika..izi pumba mna tumiaga nini kuandika ..kama ujui kaa kimya sio kuandika vitu usivyo jua
Sitanii mm kwa kua naskia wenye hisa wapo3 na mondi ndo mwenye hissa ndogo zaidi akifautiwa na kusaga zaidi ya hapo sijui kwakua si mfatiliaji wa bongo fleva
 
Tanzania nzima inafatilia tamasha hata mtoa mada nayeye kaacha kitanda anafatilia wasafi festival alafu anapknda [emoji23][emoji23] kama baya zima tv ulale
 
Kwa kifupi hakuna sababu ya msingi kwa tamasha la Wasafi kuitwa Wasafi Festival, ni bora liitwe Diamond Festival, na kwa mwendo huu wasanii wasahau kufika level za Diamond maana anajua kuwachezea akili kwa hesabu ndogo sana.

Haiwezekani wenzake awape dakika 3 kupanda jukwaani halafu yeye atumie masaa mawili kutesa na jukwaa halafu tamasha aliite Wasafi Festival.

Sijaiona Fiesta msanii mmoja akipewa saa nzima jukwaani ku-perform na wengine dakika 3. Huyu dogo wa Tandale akili nyingi sana kichwani na ujanja ujanja mwingi, na kwa mwendo huu hashuki leo wala kesho.

Heri kijana wa Kimakonde machale yalikucheza mapema, nadhani umeshuhudia Mboso na Ray nini sijui walivyokula za uso.
 
Nasikia,japo sijui kwakua si mfatiliaji wa bongo flava..

Unajua ulicho kiandika..izi pumba mna tumiaga nini kuandika ..kama ujui kaa kimya sio kuandika vitu usivyo jua
Umemaliza kumbe?, kama bdo endelea kuandika
Pilipili usiyoila inakuwashia nn lkn haujaulizwa ww
 
wMke wa Kusaga (na sio Kusaga) ana 53%! Watu wanamchukulia poa yule Mngazija kwa sababu hawaifahamu familia yake... in short, mke wa Joe kwao wana pesa!! So, zile 53 zinaweza kuwa kweli ni za Kusaga au hata mke wake Kusaga (ndie aliye kwenye mafaili) kwa sababu na yeye pesa ipo!!

Mwenye hisa chache ni mzee mmoja wa Kizanzibari, yeye ana 2%!! Huyu mzee I think ana uhusiano fulani na mke wa Kusaga manake kwenye issues nyingi za mke wa Kusaga, yule babu yupo!!

Diamond anazo 45%.
Oky
 
Back
Top Bottom