theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Huyo jamaa ni mbinafsi, ndiyo maana wale wasanii wawili waliondoka, haiwezekani msanii mkubwa kama Harmonize apande stejini halafu aimbe dakika mbili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiba ana akili sana, kwa hiyo alitaka ampandishe hapo jukwaani halafu dakika 3 wamwambie muda umeisha, na si bure DJ angeweka muziki kwa mikwaruzo mikwaruzo mwanzo mwisho. Sasa hapo hajammaliza kisanii hata kama angempa milioni 10, huyu mtu janja janja nyingi sana.Huyo jamaa ni mbinafsi, ndio maana wale wasanii wawili waliondoka haiwezekani msanii mkubwa kama Harmonize apande stejini halafu aimbe dakika mbili...
Kiba ana akili sana kwa hiyo alitaka ampandishe hapo jukwaani halafu dakika 3 wamwambie muda umeisha na si bure dj angeweka mziki kwa mikwaruzo mikwaruzo mwanzo mwisho, sasa hapo hajammaliza kisanii hata kama angempa milioni 10, huyu mtu Janja Janja nyingi sana
You have killed it all..Wabongo bhana wamejaa chuki mnoo,badala ya kujifunza vitu positive wao hawana haja navyo kutwa kucha kujadili negatives za mtu aliefanikiwa as if zitawapeleka popote..Kumchukia mtu aliekuzidi hakukufanyi uwe sawa nae bali kunalemaza ubongo wako kutofikiri nje ya box uweze kusonga mbele..wabongo tungekuwa na mindset kama hizi zako tungekuwa mbali..Namkubali mondi
Sababu ametoa ajira nyingi kwa vijana... Ila sio sababu ya nyimbo zake
The guy is really hustler... I love his moves
That is how all youths needs to fight !
Sio kweli km hujui ni kwamba msanii anapenda apate muda mwingi hizi dakika tatu tatu minong'ono ilishaanza hata kabla ya hii festival ila ndio hivyo madogo wanaogopa kusema!Kukaaa jukwaan zaid ya dk 20 n kipaji, Tz anacho mond pekeake.... uliza uambiwe
Sio kweli km hujui ni kwamba msanii anapenda apate muda mwingi hizi dakika tatu tatu minong'ono ilishaanza hata kabla ya hii festival ila ndio hivyo madogo wanaogopa kusema!
Rebeca mshamba tuu kama mashamba mengineMasikiniiii angalia viewers wa YouTube huko upagawe.
Hapo hatujagusa Wasafi tv na Fm.
Leo wanakusanya zaidi ya 500 million PPV za Azam sijui nisemeje.
Visimbuzi vingine kama DSTV, STARTIMES na ZUKU hahahaha
Ukishaona jiulize anayestahili kuacha hii biashara ni Channel 10, Star tv, Clouds tv na +, TV E, TBC au Wasafi TV kisha unipe jibu
Kwani unaongelea nn tv na redio ni zake au anahisa ndogo tu?!