Hili tamasha la Wasafi nadhani liitwe Diamond Festival na sio Wasafi Festival

Hili tamasha la Wasafi nadhani liitwe Diamond Festival na sio Wasafi Festival

Sawa domo umesikika
Masikiniiii angalia viewers wa YouTube huko upagawe.
Hapo hatujagusa Wasafi tv na Fm.
Leo wanakusanya zaidi ya 500 million PPV za Azam sijui nisemeje.
Visimbuzi vingine kama DSTV, STARTIMES na ZUKU hahahaha

Ukishaona jiulize anayestahili kuacha hii biashara ni Channel 10, Star tv, Clouds tv na +, TV E, TBC au Wasafi TV kisha unipe jibu
 
Wasanii wote walioimba ni hovyo, kidogo chid benz kajitahidi, sitaki kuamini kama kuna wanaume waliokamilika wametoa pesa zao kwenda kuangalia huu upuuzi.

Uzo tayari.
Jiandae na fiesta kijana , hili ni balaaaaa zitooooooooo
 
TV hii na Radio mpaka unaiona na kuisikiliza kwako yametumika Mamilioni ya dollar.
Watangazaji wakubwa hao unaowaona wameletwa kwa mamilioni ya Tanzania shillings hawajashushwa.

Kuna technicians, TX operators, sound engineers akiwemo Tudd Thomas.
Imelipwa pesa nyingi hadi DSTV kuirusha Wasafi tv Africa nzima hakuna TV ya Tanzania inayoonekana Africa nzima zaidi yake.

Sponsors wanazidi kuongezeka na ndio wanaofanyaga media ziendelee.
Alafu nakukumbusha tu Wasafi tv na FM bado hata hazijakamilisha safu za vipindi vyake stay tune kwa habari za kushangaza
Namkubali mondi

Sababu ametoa ajira nyingi kwa vijana... Ila sio sababu ya nyimbo zake

The guy is really hustler... I love his moves

That is how all youths needs to fight !
 
Najarbu kuftalia show ya ya wasafi festival grand final..wat i see jamaa bado wana longway to go kuna matchup na fiesta mana hata arrangment yao ni ovyo plus wasanii wao wengi ni wale oldscul tuu sasa sijui wameshindwa kulipa hawa curently artsist
Currently artists ndo kina nani kwa mfano ...
 
umenena majamaa hawategemei viingilio vya watu tu mapato ni mengi ndio maana mondi anajiamini

Back
Top Bottom