mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Wcb wasanii wake wanajitegemea uwa hawaitaji nyongeza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mondi stick na Music....huku kwenye TV unapoteza muda na hela zako tuu..
Ungejadiliana na mumeo huko ghetto kwenu ulilileta hapa kufanyaje ngoja waje kukupa dawaKiukweli bado sana. They have a long long way to get there.
Mpangilio, dj and everything was bullshit na pasipo kuwa na hao wasanii wa naija na yeye mwenyewe Diamond sidhani kama watu wangeamasika kwenda.
Sina chuki am just speaking my mind,
Sitaki kuona team wasafi wananishambulia hapa.
Masikiniiii angalia viewers wa YouTube huk
o upagawe.
Hapo hatujagusa Wasafi tv na Fm.
Leo wanakusanya zaidi ya 500 million PPV za
Azam sijui nisemeje.
Visimbuzi vingine kama DSTV, STARTIMES na
ZUKU hahahaha
Azam hawapo acha unafiki
Ukishaona jiulize anayestahili kuacha hii biashara ni Channel 10, Star tv, Clouds tv na +, TV E, TBC au Wasafi TV kisha unipe jibu
Kushambuliwa ni lazima...Kiukweli bado sana. They have a long long way to get there.
Mpangilio, dj and everything was bullshit na pasipo kuwa na hao wasanii wa naija na yeye mwenyewe Diamond sidhani kama watu wangeamasika kwenda.
Sina chuki am just speaking my mind,
Sitaki kuona team wasafi wananishambulia hapa.
Najarbu kufuatilia show ya Wasafi Festival grand finale, wat I see jamaa bado wana long way to go, kuna matchup na Fiesta maana hata arrangement yao ni hovyo plus wasanii wao wengi ni wale Old School tu, sasa sijui wameshindwa kulipa hawa curently artsist!
TV hii na Radio mpaka unaiona na kuisikiliza
kwako yametumika Mamilioni ya dollar.
Watangazaji wakubwa hao unaowaona
wameletwa kwa mamilioni ya Tanzania
shillings hawajashushwa.
Kuna technicians, TX operators, sound
engineers akiwemo Tudd Thomas.
Imelipwa pesa nyingi hadi DSTV kuirusha
Wasafi tv Africa nzima hakuna TV ya
Tanzania inayoonekana Africa nzima zaidi
yake.
Sponsors wanazidi kuongezeka na ndio
wanaofanyaga media ziendelee.
Alafu nakukumbusha tu Wasafi tv na FM bado
hata hazijakamilisha safu za vipindi vyake stay tune kwa habari za kushangaza
Kwan alikuwepo mkuu?maana kuna jamaa nmebishana nae kasema starboy hwez kuja vitamasha kama hivi yy n kujaza tu consert za USA ko huk kajamba nan hawez kujaBila Wizkid kuja ingekuwa ndoto, mshukuruni Starboy.
Sio ndoto bali ni mipango mizuri chini ya Wasafi na hata mikoani wamejaza viwanja kwa sh elfu 10 na hakukuwa msanii wa nje.Bila Wizkid kuja ingekuwa ndoto, mshukuruni Starboy.
Sema diamond baba lao sio wiskid..mond na rayvany wanatosha kujaza ule ueneo bila hata wizkidBila Wizkid kuja ingekuwa ndoto, mshukuruni Starboy.
Na wew nenda kapige debeWewe ndugu acha kulopoka unaonekana huna hata hicho kisimbuzi cha dstv eti hakuna tv ya tanzania inaooneshwa dstv???! Ipo clouds plus,tbc,tv e, halafu azam haipo hiyo wasafi tv acha ushabiki maandazi halafu hizo tv sio za diamond ni za joe mwenye clouds,diamond ni kipele tu mpiga debe nenda zako na ushabiki wako maandazi
Kwahyo akiwa n.a. viewers wengi ndo nin watu wengi wamenunua ticket kwasab ya BRAND lakini kiukwel kilicho fanyika sijaona yan bado wanahitaj experience zaid yan bado sijaona balaa zito jana halikuepoMasikiniiii angalia viewers wa YouTube huko upagawe.
Hapo hatujagusa Wasafi tv na Fm.
Leo wanakusanya zaidi ya 500 million PPV za Azam sijui nisemeje.
Visimbuzi vingine kama DSTV, STARTIMES na ZUKU hahahaha
Ukishaona jiulize anayestahili kuacha hii biashara ni Channel 10, Star tv, Clouds tv na +, TV E, TBC au Wasafi TV kisha unipe jibu
Azam Wasafi,ila mpaka ulipie elfu 1 independent ili uweze kuiona.Wewe ndugu acha kulopoka unaonekana huna hata hicho kisimbuzi cha dstv eti hakuna tv ya tanzania inaooneshwa dstv???! Ipo clouds plus,tbc,tv e, halafu azam haipo hiyo wasafi tv acha ushabiki maandazi halafu hizo tv sio za diamond ni za joe mwenye clouds,diamond ni kipele tu mpiga debe nenda zako na ushabiki wako maandazi
Wasafi wamejaza uwanjan kwasabu tu ya ule ukubwa wa BRAND ila tukiweka ushabiki pemben tusimame kweny ukwel kabisaa wasafi bado sana kweny matamashaLakini wamejaza kwa wasanii wale wale wazamani, hilo ndio muhimu tena kwa shiling 10 elfu kingilio.We wasubirie wazee wa buku 5 na wasanii wao wapya.
Najua huamini unachokiona,Wasafi kujaza kwa kutumia wasanii wa zamani tena kwa shilingi 10.
Hata mbuyu ulianza kama mchicha ,ndio kwanza wameeanza na impact imekuwa kubwa kupita kawaida wamejifunza watarekebisha,hamna mtu aliyeanza kitu na kufanya vizuri siku hiyo hiyo HAMNA na ndio maana kuna shule na Training.Wasafi wameanza uwanjan kwasabu tu ya ule ukubwa wa BRAND ila tukiweka ushabiki pemben tusimame kweny ukwel kabisaa wasafi bado sana kweny matamasha
Sasa mtu ana views wengi unashangaa kuuza ticket nyingi?Kwahyo akiwa n.a. viewers wengi ndo nin watu wengi wamenunua ticket kwasab ya BRAND lakini kiukwel kilicho fanyika sijaona yan bado wanahitaj experience zaid yan bado sijaona balaa zito jana halikuepo