Kwanza mmepunguza kiingilio mpaka 5000 wakati wasafi wameweka 10000, 500000 na mil 1 na wamejaza mpaka wengine wameshindwa kuingia kwenye show uoni ni aibu kuongea hiyo kauli yako.
We utakuwa hutumii akili zako vizuri. Diamond is one my best na sina chuki nafikiri unatakiwa usome vizuri hio comment yangu. Na kwenye ukweli lazima niseme ni mawazo yangu kama yalivyo yako.Wewe Simba unamjua unamsikia umekaa kodo mpaka Simba kaimba unafikiri ni mchezo?
Ni mmoja wa wasanii watano bora Africa nzima unaleta ushubwada hapa Simba akienda sehemu Yoyote africa mashariki na kati shughuli zina simama wewe ni best performer na ni best Singer
Hizo chuki zako peleka huko ukasikilize mshumaa maana ushaumizwa wewe
Mashabiki Wa Domokaya Hamna AkiliKamuwekea nani bifu?
Kwani hiyo 500M kaitoa mdomoni au ipo kwenye mkataba?
Siasa zimekujaje hapa wewe?Vijana mna akili za ki ccm sana
Kila mtu ambaye atajaribu kuikosoa serikali ama toa ushauri; mmoja kwa mmoja mnaitimisha haipendi serikali.
Wameanza vizuri lakini kuna vitu kibao inabidi wavi improve. Baadhi ni kama
Sound ilikuwa mbovu next time wamfatafute mtu sahihi.
DJ bora wangemuacha omy crazy sio yule DJ wao alikuwa kapoa sana.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kusifiwa wanataka wakipondwa wanaleta ushubwada hapa mxiewwwwKushambuliwa ni lazima...
Unatakiwa kusifia au kukaa kimya..!
[emoji23] [emoji23][emoji23]
Kuna mtu kakuomba ushauri? Vipi kama ungekaa na bilinganya zako huko mkapeane huo ushauri.Ungejadiliana na mumeo huko ghetto kwenu ulilileta hapa kufanyaje ngoja waje kukupa dawa
mimi loser ms bigotries?We utakuwa hutumii akili zako vizuri. Diamond is one my best na sina chuki nafikiri unatakiwa usome vizuri hio comment yangu. Na kwenye ukweli lazima niseme ni mawazo yangu kama yalivyo yako.
Kubishana sijazoea ila we unaonekana huna kazi zaidi ya kubishana na unayembishania hajui hata ndevu zako zimekaaje. Good luck with that, loser...
Hakana akili hako kamwanamke.Ungejadiliana na mumeo huko ghetto kwenu ulilileta hapa kufanyaje ngoja waje kukupa dawa
Hater wa bongo ππππ[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kusifiwa wanataka wakipondwa wanaleta ushubwada hapa mxiewwww
Wewe ni mshabiki wa muziki!Najarbu kufuatilia show ya Wasafi Festival grand finale, wat I see jamaa bado wana long way to go, kuna matchup na Fiesta maana hata arrangement yao ni hovyo plus wasanii wao wengi ni wale Old School tu, sasa sijui wameshindwa kulipa hawa curently artsist!
Hisa 45% ni ndogoKwani unaongelea nn tv na redio ni zake au anahisa ndogo tu?!
Bro hatulinganishi hayo.Mnabishana lakini fiesta na wasafi vyote vya mtu mmoja alieamua kujiwekea upinzani mwenyewe ili awapige vzuri.
Nyie kuleni burudani kusaga apige hela.
Hio hela ya chai mil 500 kwani walipoingia si walisain mkataba..au walilazimishwa kusain mkatabaAlaf wakitoka anawatoza mil 500
Mke wa kusaga 54 diamond 45 huyo mwingine zilizo bakiSitanii mm kwa kua naskia wenye hisa wapo3 na mondi ndo mwenye hissa ndogo zaidi akifautiwa na kusaga zaidi ya hapo sijui kwakua si mfatiliaji wa bongo fleva
Sasa mimi na wewe nani hana akili?Mashabiki Wa Domokaya Hamna Akili