Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Acha ushabiki mandazi, hicho kiingilio cha M1 kimetoka wapi???
Kwanza mmepunguza kiingilio mpaka 5000 wakati wasafi wameweka 10000, 500000 na mil 1 na wamejaza mpaka wengine wameshindwa kuingia kwenye show uoni ni aibu kuongea hiyo kauli yako.