Copro mtego
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 641
- 840
Hili tukio la Mr mwanya kuwadhalilisha wauguzi wa kiume binafsi naona Lina faida sana kwa wauguzi wenyewe na jamii kwa ujumla
Faida kubwa ni awareness mitaani kuhusu taaluma ya uuguzi
Pia kama hatua stahiki zitachukuliwa kwa Mr mwanya itajenga heshima kwa wauguzi hivyo jamii itatambua kwamba hii ni kada yenye watu wanaojielewa na sio wa kufanywa watu wanavotaka
Imagine mwanaune anayepaka rangi kucha, mpishi, waiter, mfanya usafi nk hawaonekani kwamba wanafanya kazi za kike anaonekana muuguzi
Hatua zikichukuliwa kwa jamaa huyu itakuwa ndio mwanzo wa mabadiliko chanya kuanzia kwenye jamii kuhusu perception kwa wauguzi na kwa wauguzi wenyewe
HUu ni muda wa kuwaona TANNA wakihakikisha Mr mwanya anapata haki yake vzr
Maoni yako