Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Aliomba msamaha, maana wauguzi walitamka watasitisha kutoa huduma kutokana na video yake hiyo.Huyu apewe adhabu Kali sana
Mpaka mwenyekiti wa chama cha wauguzi na wakunga TZ alifanya mkutano na waandishi wa habari.