Hili tukio la Mr mwanya na wauguzi ni muda sahihi kuwepo lina faida sana

Hili tukio la Mr mwanya na wauguzi ni muda sahihi kuwepo lina faida sana

Hili tukio la Mr mwanya kuwadhalilisha wauguzi wa kiume binafsi naona Lina faida sana kwa wauguzi wenyewe na jamii kwa ujumla

Faida kubwa ni awareness mitaani kuhusu taaluma ya uuguzi
Pia kama hatua stahiki zitachukuliwa kwa Mr mwanya itajenga heshima kwa wauguzi hivyo jamii itatambua kwamba hii ni kada yenye watu wanaojielewa na sio wa kufanywa watu wanavotaka

Imagine mwanaune anayepaka rangi kucha, mpishi, waiter, mfanya usafi nk hawaonekani kwamba wanafanya kazi za kike anaonekana muuguzi

Hatua zikichukuliwa kwa jamaa huyu itakuwa ndio mwanzo wa mabadiliko chanya kuanzia kwenye jamii kuhusu perception kwa wauguzi na kwa wauguzi wenyewe

HUu ni muda wa kuwaona TANNA wakihakikisha Mr mwanya anapata haki yake vzr
Maoni yako
Bila video ni chai tu
 
Aliomba msamaha, maana wauguzi walitamka watasitisha kutoa huduma kutokana na video yake hiyo.
Mpaka mwenyekiti wa chama cha wauguzi na wakunga TZ alifanya mkutano na waandishi wa habari.
View attachment 3300525
Huyu mpumbavu alidhamiria kufanya alichofanya awe makini atakapohitaji huduma za kiafya popote pale anastahili kupigwa sindano ya mfano ibaki historia yake tu huyu Mbwa
 
Huyo ilitakiwa Basata wamfungie hata miezi kadhaa ndio akili itamkaa sawa.

Maana kuna vitu amesema hapo ni udhalilishaji wa hali ya juu.
 
Kwahiyo kesi imefikia wapi tuifufue?

Watu wanaodhaminika duniani yeye anawamock! Tatizo la comedian wa Tz akili ndogo sana na exposure 0
 
Kuomba samahani haitoshi tena haitoshi kabisa hao wauguzi wakishindwa hata individual wamshitaki kwa defamation
Yes!
Karibu kila media inasema kuomba msamaha tu haitoshi, amedhalilisha mno sekta ya afya.
 
Huyu mpumbavu alidhamiria kufanya alichofanya awe makini atakapohitaji huduma za kiafya popote pale anastahili kupigwa sindano ya mfano ibaki historia yake tu huyu Mbwa
Kabisa.
Nakumbuka kuna comment moja ya mdau ilisema huyu jamaa itabidi awe makini sana popote pale atakapoenda kupata huduma ya matibabu.
 
Unaleta habari as if unamsimulia huyo Mr mwanya
 
Hili tukio la Mr mwanya kuwadhalilisha wauguzi wa kiume binafsi naona Lina faida sana kwa wauguzi wenyewe na jamii kwa ujumla

Faida kubwa ni awareness mitaani kuhusu taaluma ya uuguzi
Pia kama hatua stahiki zitachukuliwa kwa Mr mwanya itajenga heshima kwa wauguzi hivyo jamii itatambua kwamba hii ni kada yenye watu wanaojielewa na sio wa kufanywa watu wanavotaka

Imagine mwanaune anayepaka rangi kucha, mpishi, waiter, mfanya usafi nk hawaonekani kwamba wanafanya kazi za kike anaonekana muuguzi

Hatua zikichukuliwa kwa jamaa huyu itakuwa ndio mwanzo wa mabadiliko chanya kuanzia kwenye jamii kuhusu perception kwa wauguzi na kwa wauguzi wenyewe

HUu ni muda wa kuwaona TANNA wakihakikisha Mr mwanya anapata haki yake vzr
Maoni yako
Ushauri..
Watu wa Dar muwe mnaandika habari imekamilka, sasa mtu anakurupuka anazungumzia mr mwanya kwani wote tunamjua?!

Pili: kawadhalilisha wauguzi wakiume, kivipi?! Weka ushahidi
Alafu mkumbuke si wote tunaishi huko dar.(Maana huw nahisi kwa mawasilisho ya hapa jukwaani huko dar mnafahamiana wote kama hapa kijijini kaetu Liuli, Mbinga.
 
Sasa we unateseka na Comedy? mwenzio yuko job hapo anaingiza hela, huyu huwa anawaatania hata JW vs POLISI
 
Back
Top Bottom