Hili tukio la Simba na chui lingetendeka Kenya tungelichangamkia, lakini Watz wapo wapo tu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Simba jike, yaani marara amepigwa picha kule hifadhi ya Ngorongoro akimnyonyesha mwana wa chui, ni maajabu ya dunia ambayo yanafaa kupigiwa debe pembe zote za ulimwengu huu. Nakumbuka tukio linalofanana na hili liliwahi kutokea Kenya ambapo simba wa kike alikua akimlea mwana wa swara, yaani tulilitangaza dunia yote hadi maelfu ya watalii wakawa na hamu ya kuitazama show ya baby Orynx Lioness who lay down with the antelope

Sasa hii imetendeka Tanzania lakini nimeshangaa hakuna hata anayeshughulika, hehehe ndugu zetu hawa, haya bwana muda usio mrefu watatiririka hapa na stori za kibera na povu zote.....

Taarifa hii hapa kwenye gazeti la Kenya
Stunning treat as wild Tanzanian lioness nurses leopard cub

1597475.jpg

Scientists long assumed lions were hard-wired to kill leopards on sight, until a wild lioness was caught on camera this week nursing a leopard cub.

The startling photographs, taken in Tanzania's Ngorongoro Conservation Area, are the first evidence of such inter-species bonding between predators that are normally mortal enemies.

"There is no other recorded case where a big cat in the wild has suckled a cub belonging to another species," Luke Hunter, president of Panthera, a wild cat conservation group, told Reuters in a telephone interview.

The lioness, known locally as "Nosikitok", is well known to scientists as she is radio-collared and monitored by KopeLion, a Tanzanian conservation NGO supported by Panthera.

The photos were taken on Tuesday and Hunter said that, as of Thursday, Nosikitok had returned to her pride some distance from where she was nursing the leopard cub, "so we are not sure what is going on now".

"It's possible the mother leopard retrieved the cub from what was a temporary lioness day care, but we just don't know," he said.
 
Ungelichangamkia ufanyaje hahaha sasa si uwaambie wapo Kenya, hii kuchangamkia mara nyingine naonaga ni kuabudu Mzungu nilikua na mhifadhi nikamuuliza anipe tariffs kati ya Tanzanian na foreigner sikuona tofauti kubwa sana so hata kutageti mtanzania mwenzako inamake sense.
 
Nimeisikia BBC World Service.

Bado tuna mpaka Rais "Kibanga Kampiga Mkoloni" sasa tuchangamkie nini na wapi?

Sent from my Kimulimuli
 
Tatizo wa tz wanapenda sana siasa. Mijadala yao ni siasa tu, yaani kila mbongo ni mwanasiasa
Sio kivile especially now, kwenye platforms za celebrities wanaovisit Tanzania utapata watanzania wengi sana wakinadi nchi yao vyema sana.
 
Simba jike, yaani marara amepigwa picha kule hifadhi ya Ngorongoro akimnyonyesha mwana wa chui, ni maajabu ya dunia ambayo yanafaa kupigiwa debe pembe zote za ulimwengu huu. Nakumbuka tukio linalofanana na hili liliwahi kutokea Kenya ambapo simba wa kike alikua akimlea mwana wa swara, yaani tulilitangaza dunia yote hadi maelfu ya watalii wakawa na hamu ya kuitazama show ya baby Orynx Lioness who lay down with the antelope

Sasa hii imetendeka Tanzania lakini nimeshangaa hakuna hata anayeshughulika, hehehe ndugu zetu hawa, haya bwana muda usio mrefu watatiririka hapa na stori za kibera na povu zote.....

Taarifa hii hapa kwenye gazeti la Kenya
Stunning treat as wild Tanzanian lioness nurses leopard cub

1597475.jpg

Scientists long assumed lions were hard-wired to kill leopards on sight, until a wild lioness was caught on camera this week nursing a leopard cub.

The startling photographs, taken in Tanzania's Ngorongoro Conservation Area, are the first evidence of such inter-species bonding between predators that are normally mortal enemies.

"There is no other recorded case where a big cat in the wild has suckled a cub belonging to another species," Luke Hunter, president of Panthera, a wild cat conservation group, told Reuters in a telephone interview.

The lioness, known locally as "Nosikitok", is well known to scientists as she is radio-collared and monitored by KopeLion, a Tanzanian conservation NGO supported by Panthera.

The photos were taken on Tuesday and Hunter said that, as of Thursday, Nosikitok had returned to her pride some distance from where she was nursing the leopard cub, "so we are not sure what is going on now".

"It's possible the mother leopard retrieved the cub from what was a temporary lioness day care, but we just don't know," he said.

Unababakia sana Wazungu mpaka unachanganyikiwa, sasa ngoja Mwezi ujao wanamuingiza Raila kwa nguvu ndo mtawajua kwamba Muzungu siyo Babako!
 
Mngeenda kurogana? Mmemaliza visa vya uchaguzi? Kenya will never change...hawa wote walio mbele kugombea madaraka hawana uwezo huo...ni sehemu ya uozo
 
Tatizo wa tz wanapenda sana siasa. Mijadala yao ni siasa tu, yaani kila mbongo ni mwanasiasa
Tumejiandaa kupinga kila kitu sio ku-support, ndo maana wengine wamepinga wanasema hapo sio mbugani ni zoo. Mbugani haiwezekan jambo hilo kutokea.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kama huna, itabidi ujitangaze maana hakuna namna nyingine. Dunia yote inajuwa maajabu ya Mungu yapo Tanzania, sasa tujitangazie nini tena?
 
Watz wanamuogopa mzungu kupindukia aisee.Simtangaze basi kwa wachina,wakorea au hata India?Biashara ndo ivo bana!Pesa si ni pesa wakija hata watalii wakinigeria kuona tukio hilo,shida iko wapi?Wah,wabongo bana mlichokosa ni nini?Ubongo au?
 
Hivi unajua statistics za wazungu wanaotiririka Tanzania?? Kila pembe ya nchi??
 
Hizo tabia za Kunyenyekea wazungu mnazo nyie, ndio maana mnashangaa mtz kupost kiswahili kwenye Ukurasa wa Rooney.
Wazungu mmewapa ardhi yenu hapo Kenya na nyie mmebaki kujazana Kibera, mmebaki mafukara wa kutupwa na mnakufa njaa..
Naskia ndoto kubwa za wajaluo ni kujua Kingereza na Kuolewa na Mzungu!!
 
Mnahesabu wazungu aisee?Kenya statistics zetu tunaeka kulingana na uraia wa watalii k.m mholanzi,mchina n.k!Kumbe mnawamaindi wazungu kiasi hicho?!Haya nieleze,waliingia wazungu wangapi tz?
 
We umesema tunaogopa wazungu as if labda hawaji Tanzania
 
Hizo tabia za Kunyenyekea wazungu mnazo nyie, ndio maana mnashangaa mtz kupost kiswahili kwenye Ukurasa wa Rooney.
Wazungu mmewapa ardhi yenu hapo Kenya na nyie mmebaki kujazana Kibera, mmebaki mafukara wa kutupwa na mnakufa njaa..
Naskia ndoto kubwa za wajaluo ni kujua Kingereza na Kuolewa na Mzungu!!
Wajaluo wapo tz,wengi tu!Sa sijui point yako nini?Kawaulize kama ni kweli,mi sijui.Ulipost kiswahili kwenye ukurasa wa rooney ndo iweje ulitaka ajue una bundles,mb kibao?Vitu vingine unatumia tu 'common sense'.
 
Fursa nzuri sana hii kwa ss wakenya kujitangaza mitandaoni, acha nikalianzishe kule fb na insta!
 
Back
Top Bottom