Hili tukio limenifanya nisimuamini mwanaume yoyote

Hakika mkuu, nilishamsamehe kitambo sana
 
Ulimpa?
 
Usisahau, baabako naye ambaye hajafanya hayo, ni mwanaume pia.
 
Ulikuwa na umri gani
 
Kwahiyo nawe usiaminiwe na wote kwa makosa ya mwanamke mwingine? Kumbuka kuna wanawake wasagaji, kwahiyo tuamini kuwa na wewe unaweza msaga mtoto wako kisa kuna wanawake wasagaji?
Duh! Haipo hivyo jamani
 
Uko sahihi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…