Hili tukio limenifanya nisimuamini mwanaume yoyote

Hili tukio lilitokea miaka mingi iliyopita, kipindi nasoma nakumbuka kati ya form 1 au form 2.

Nitafupisha ili nisiwachoshe, baba angu alituambia kuwa kuna mwanamke alimpa mimba miaka hiyo wakaachana mwanamke akaolewa na mwanaume mwingine sasa yule mtoto alivyokuwa akaambiwa baba yake ni mzee wetu, akaanza kumtafuta, hatimaye akampata.

Huyu mtoto mwenyewe alikuwa tayari mtu mzima ana mke wake na watoto alikuwa kama ana miaka 30 hivi kipindi hicho, alivyotambulishwa kwetu kuwa ni kaka yetu, basi tukaanza undugu rasmi na huyu kaka yetu tukawa tunamtembelea nyumbani kwake. Haswa haswa mimi nilikuwa nikitoka shule napitia mara nyingi kwa kaka nakula napewa nauli na mkewe au hata yeye akiwepo naondoka nyumbani na hapo nyumbani kwake ilikuwa ni jirani na rafiki yangu niliyekuwa nasoma nae.

Nakumbuka siku moja baba aliniambia nikachukue hela ya mahitaji ya shule alimwambia huyu kaka yetu anipe kwahiyo nikawa nimeenda, kipindi hiki wifi yaani mke wa kaka alikuwa kaenda kujifungua kwao, sasa nikapita kwa best angu then nikaenda kwa kaka nikamkuta mwenyewe nikakaa nakumbuka alininunulia chakula.

Nikala akawa ametoka na mimi nikaenda kwa rafiki angu nikakaa kaa kidogo nikarudi nikawa nimemkuta ndani akaniambia niingie chumbani, kwake sasa mimi nikawa simuelewi maana alikuwa kabadilika macho yamekuwa mekundu alafu akawa ananiita nisogee karibu yake, hata sauti akawa anaongea sauti ya chini, katika kumsikiliza vizuri, akaniambia "nipe kidogo" aisee hapo akili iliruka kengele ya hatari ikagonga kichwani kwangu, nikamuuliza kaka umesemaje akarudia tena "anaomba kidogo" nilishtuka sana sikutarajia kauli na kitendo kama hicho kutoka kwa mtu niliyetambulishwa na baba kuwa ni kaka kwetu.

Niliondoka na tangu hiyo siku sijawahi kumtembelea tena mpaka kufika sasa hatuna mawasiliano, sikumwambia mtu yoyote hili tukio maana ni aibu, kaka anataka kunibaka, tukio la ajabu mno.

Mwanaume hata akiwa ndugu yangu, mume wangu au wherever siwezi kumuamini kumuachia mtoto wangu wa kike huu ndiyo msimamo wangu baada ya hili tukio, ama ninakosea wadau??
Sikukatalii, utakuwa mzuri sana kaka alipatia mfadhaiko wa Akili,msamehe Bure,hata yeye kama zimo kichwani ana Aibu KUBWA!
 
Upo sahihi kwa hatua ulizozichukua ili kujilinda wewe na kumlinda yeye na kadhia za jela.

Lakini katika andiko lako nilikuwa nafuatilia kusoma namna mtoto wa baba alivyobadilika rangi ya macho na kuwa mekundu!

Na andiko limenikuta nikiwa na 'lust' ya kula nyama ya mtu, imebidi nikimbilie kwene kioo cha ukutani kujishushua machoni, lakini mbona nimekuta bado ni meupe na huku bado kitu kinasoma mbaya?

Au kakako alivuta ganja siku hiyo?

Hili la kutakana bila kutongozana ndo'nazidi kumshangaa zaidi maana huo ni ubakaji kwa 100% na agefungwa!

Au mkuu angegonga ungelimfichia siri?

Mkikutana leo mnaangalianaje, au anajibaraguza na kujifanya hakumbuki issue?
Halafu mkuu nawe unaonekana ni mzuri sana, yaani bonge la pisi!

Inakuwaje jamaa anakutamani hadi anashindwa kuongea maneno yenye kueleweka na kubakia kuomba kitu kama anaomba chakula!
 
Back
Top Bottom