Binti Sayuni03
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 1,075
- 1,913
- Thread starter
- #61
Ndiyo ninao nasubiri niolewe Ndiyo utoleweKwani bado unao mpaka sasa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo ninao nasubiri niolewe Ndiyo utoleweKwani bado unao mpaka sasa...
Anakutafuta lakiniNdiyo mkuu
Ndiyo ninao nasubiri niolewe NdiyoKwani bado unao mpaka sasa...
Duh! Kumbe na wewe ilikuwa hivyo, ufataki tu😉😁😁Hiyo ni kawaida mapenzi tulijifunzia kwa ndugu... Ingeruhusiwa ungekuta nilioa mtoto wa baba mdogo wangu 😋😋
Hapana hanitafuti kabisaAnakutafuta lakini
Nitaamini vipi kama bado unao??Ndiyo ninao nasubiri niolewe Ndiyo utolewe
Kwa hiyo mmekata unduguHapana hanitafuti kabisa
Naam, ila mimi nilishamsamehe hata akinitafuta nitaongea nae vizuri tuKwa hiyo mmekata undugu
Wewe kidagaa, baba angu hayupo hivyoKaka yako kwani mmezaliwa pamoja? Sema ana tabia kama za baba yako tu
Samaki mmoja akioza.....Jaribu wanaume wote duniani basi. Sasa mtu mmoja kati ya bilioni moja unasema wote ni wachawi
Mtafute weweNaam, ila mimi nilishamsamehe hata akinitafuta nitaongea nae vizuri tu
Imani ni muhimu jitahidi uwe nayoNitaamini vipi kama bado unao??
Sihitaji mawasiliano nae sioni umuhimu wakeMtafute wewe
Safi. Nimekupenda bure.sikumwambia mtu yoyote hili tukio
Ile hali aliyokuwa nayo nilihisi kabisa anataka kunibakaSafi. Nimekupenda bure.
Ila ungemuuliza nikupe nini!?
Na yeye pia haoni umuhimu wakoSihitaji mawasiliano nae sioni umuhimu wake
Maneno matupu hayavunji mfupa...Imani ni muhimu jitahidi uwe nayo
Umeathirika kisaikolojia lkn sio wanaume wote ni wapuuzi kama huyo kaka ako,ukishaambiwa huyu ni ndugu yako unatakiwa ufute tamaa zako zote juu yake,usiseme wanaume tu nimesoma jana mtandaoni kuna mwanamke Kenya ana mimba ya mtoto wake wa kiume,hili nalo utasemaje...?Hili tukio lilitokea miaka mingi iliyopita, kipindi nasoma nakumbuka kati ya form 1 au form 2.
Nitafupisha ili nisiwachoshe, baba angu alituambia kuwa kuna mwanamke alimpa mimba miaka hiyo wakaachana mwanamke akaolewa na mwanaume mwingine sasa yule mtoto alivyokuwa akaambiwa baba yake ni mzee wetu, akaanza kumtafuta, hatimaye akampata.
Huyu mtoto mwenyewe alikuwa tayari mtu mzima ana mke wake na watoto alikuwa kama ana miaka 30 hivi kipindi hicho, alivyotambulishwa kwetu kuwa ni kaka yetu, basi tukaanza undugu rasmi na huyu kaka yetu tukawa tunamtembelea nyumbani kwake. Haswa haswa mimi nilikuwa nikitoka shule napitia mara nyingi kwa kaka nakula napewa nauli na mkewe au hata yeye akiwepo naondoka nyumbani na hapo nyumbani kwake ilikuwa ni jirani na rafiki yangu niliyekuwa nasoma nae.
Nakumbuka siku moja baba aliniambia nikachukue hela ya mahitaji ya shule alimwambia huyu kaka yetu anipe kwahiyo nikawa nimeenda, kipindi hiki wifi yaani mke wa kaka alikuwa kaenda kujifungua kwao, sasa nikapita kwa best angu then nikaenda kwa kaka nikamkuta mwenyewe nikakaa nakumbuka alininunulia chakula.
Nikala akawa ametoka na mimi nikaenda kwa rafiki angu nikakaa kaa kidogo nikarudi nikawa nimemkuta ndani akaniambia niingie chumbani, kwake sasa mimi nikawa simuelewi maana alikuwa kabadilika macho yamekuwa mekundu alafu akawa ananiita nisogee karibu yake, hata sauti akawa anaongea sauti ya chini, katika kumsikiliza vizuri, akaniambia "nipe kidogo" aisee hapo akili iliruka kengele ya hatari ikagonga kichwani kwangu, nikamuuliza kaka umesemaje akarudia tena "anaomba kidogo" nilishtuka sana sikutarajia kauli na kitendo kama hicho kutoka kwa mtu niliyetambulishwa na baba kuwa ni kaka kwetu.
Niliondoka na tangu hiyo siku sijawahi kumtembelea tena mpaka kufika sasa hatuna mawasiliano, sikumwambia mtu yoyote hili tukio maana ni aibu, kaka anataka kunibaka, tukio la ajabu mno.
Mwanaume hata akiwa ndugu yangu, mume wangu au wherever siwezi kumuamini kumuachia mtoto wangu wa kike huu ndiyo msimamo wangu baada ya hili tukio, ama ninakosea wadau??
Nadhani hivyo maana hata mzee huwa hamuongeleagi nadhani amekata undugu kimya kimyaNa yeye pia haoni umuhimu wako