Hili tukio limenifanya nisimuamini mwanaume yoyote

Hili tukio limenifanya nisimuamini mwanaume yoyote

Umeathirika kisaikolojia lkn sio wanaume wote ni wapuuzi kama huyo kaka ako,ukishaambiwa huyu ni ndugu yako unatakiwa ufute tamaa zako zote juu yake,usiseme wanaume tu nimesoma jana mtandaoni kuna mwanamke Kenya ana mimba ya mtoto wake wa kiume,hili nalo utasemaje...?
Duh! Hili sasa ni pepo siyo bure, ntakuwa na imani lakini ntachukua tahadhari
 
Utakuwa ulijazia neema za Mnyazi mpaka akawa anajuta kuwa kaka yake.
Screenshot_20250306-131328_Instagram.jpg
 
Wanawake hawawezi kubaka ? Tuseme hio story wewe ungekuwa ndio dada mtu umekwenda kwa baba wa kufikia ukakuta mtoto wa baba huyo mwingine (isingeweza kutokea same scenario) ?
 
Wanawake hawawezi kubaka ? Tuseme hio story wewe ungekuwa ndio dada mtu umekwenda kwa baba wa kufikia ukakuta mtoto wa baba huyo mwingine (isingeweza kutokea same scenario) ?
Hapo sijakupata vizuri mkuu
 
Hilo tukio ndio limekushtua?. Mbona dogo tu,tena huyo ni kakaako sio wa tumbo moja,kuna uwezekano hata sio ndugu yako mamaake na kakaako alimuuzia tu babaako mbuzi kwenye gunia. Lakini nakuambia Kuna matukio makubwa Yapo nyuma ya pazia mpaka ukiyasikia unazimia unazinduka tena,unazimia tena
 
Hapo sijakupata vizuri mkuu
Hayo yote yaliyofanyika (kama kweli yalifanyika) yasingeweza kufanyika kwa dada (aliyemzidi umri mtoto wa kiume) kwa kumwabia hayo ambayo so called kaka yako alikwambia ?

After all kubaka legally ni kwa mtoto yoyote ambaye kazidiwa na mwenzake; (umri / status / uelewa) kwa kumdanganya mdogo (minor) ili kufanya nae tendo. Ndio maana kwenye scenario ya Mwalimu na mwanafunzi unless iwe ni force sio makubaliano (always mwalimu ndio atakuwa kabaka awe wa kiume au wa kike) vilevile kwa daktari na mgonjwa...; askari na mfungwa, mtekaji na mateka n.k.
 
Hilo tukio ndio limekushtua?. Mbona dogo tu,tena huyo ni kakaako sio wa tumbo moja,kuna uwezekano hata sio ndugu yako mamaake na kakaako alimuuzia tu babaako mbuzi kwenye gunia. Lakini nakuambia Kuna matukio makubwa Yapo nyuma ya pazia mpaka ukiyasikia unazimia unazinduka tena,unazimia tena
Ni kweli yapo makubwa zaidi lakini mimi hili linanifanya nichukue tahadhari
 
Back
Top Bottom