Hili tukio limenifanya nisimuamini mwanaume yoyote

Hili tukio lilitokea miaka mingi iliyopita, kipindi nasoma nakumbuka kati ya form 1 au form 2.

Nitafupisha ili nisiwachoshe, baba angu alituambia kuwa kuna mwanamke alimpa mimba miaka hiyo wakaachana mwanamke akaolewa na mwanaume mwingine sasa yule mtoto alivyokuwa akaambiwa baba yake ni mzee wetu, akaanza kumtafuta, hatimaye akampata.

Huyu mtoto mwenyewe alikuwa tayari mtu mzima ana mke wake na watoto alikuwa kama ana miaka 30 hivi kipindi hicho, alivyotambulishwa kwetu kuwa ni kaka yetu, basi tukaanza undugu rasmi na huyu kaka yetu tukawa tunamtembelea nyumbani kwake. Haswa haswa mimi nilikuwa nikitoka shule napitia mara nyingi kwa kaka nakula napewa nauli na mkewe au hata yeye akiwepo naondoka nyumbani na hapo nyumbani kwake ilikuwa ni jirani na rafiki yangu niliyekuwa nasoma nae.

Nakumbuka siku moja baba aliniambia nikachukue hela ya mahitaji ya shule alimwambia huyu kaka yetu anipe kwahiyo nikawa nimeenda, kipindi hiki wifi yaani mke wa kaka alikuwa kaenda kujifungua kwao, sasa nikapita kwa best angu then nikaenda kwa kaka nikamkuta mwenyewe nikakaa nakumbuka alininunulia chakula.

Nikala akawa ametoka na mimi nikaenda kwa rafiki angu nikakaa kaa kidogo nikarudi nikawa nimemkuta ndani akaniambia niingie chumbani, kwake sasa mimi nikawa simuelewi maana alikuwa kabadilika macho yamekuwa mekundu alafu akawa ananiita nisogee karibu yake, hata sauti akawa anaongea sauti ya chini, katika kumsikiliza vizuri, akaniambia "nipe kidogo"

Aisee hapo akili iliruka kengele ya hatari ikagonga kichwani kwangu, nikamuuliza kaka umesemaje akarudia tena "anaomba kidogo" nilishtuka sana sikutarajia kauli na kitendo kama hicho kutoka kwa mtu niliyetambulishwa na baba kuwa ni kaka kwetu.

Niliondoka na tangu hiyo siku sijawahi kumtembelea tena mpaka kufika sasa hatuna mawasiliano, sikumwambia mtu yoyote hili tukio maana ni aibu, kaka anataka kunibaka, tukio la ajabu mno.

Mwanaume hata akiwa ndugu yangu, mume wangu au wherever siwezi kumuamini kumuachia mtoto wangu wa kike huu ndiyo msimamo wangu baada ya hili tukio, ama ninakosea wadau??
Sidhani kama ni hili tukio tu limekufanya usiamini wanaume hata ndugu yako. Inaonekana kuwa umekulia kwenye mazingira ya wanaume wenye tamaa za mwili kama mbwa na hawawezi kujizuia. Bila shaka ni hizi sehemu za uswazi ambazo ngono ni kama kula pipi tu. Nina uzoefu wa kuongea na wanawake waliokulia kwenye mazingira hayo, wote huwa hawaamini wanaume na ndiyo maana ndoa zao hazidumu.
 
Ulikosea kitosema. Moja ya mambo ambayo tunawahimiza watoto wawe wanawaambia walimu au wazazi.

Mtoto anapaswa kuongea anachofanyiwa na kaka,baba,mjomba nk.

Mimi binafsi hakuna house girl aliyelwtwa kwetu nikamuacha.

Wanawake mnafanyiwa matendo mengi sana ila hamsemi. Kwa kweli wazungu wamapiga hatua suala la unyanyasaji Kingono. Tujitahidi.

Kuna tukio lilitokea nilimla house girl. Baadae akawa akijua wife amesepa kazini anakuja ananiambia anataka. Siku hiyo nikamuambia unataka nin. Akaona aibu. Siku moja moja nikawa namla. Inaonekana aliyemtoa bikira hakuimalizia, nikaifumua, ila nikaacha kautepe kwa mbali ukila unakasikia....siku moja nikashangaa mtoto amekuwa kama amezoea na ametanuliwa sana kunako.

Nilivyopeleleza kumbe jirani anamsugua. Nikaacha. Tukagombana akaanza kumwambia wife mumeo ni malaya amelala na mimi nanhuyonjirani mnamuonea.

Nikamuuliza siku zote kwa nini hukusema. Utetezi wangu ukasaidia. Lkn ninkwa sabab watoto hawahimizwi kusema matendo wanayotendewa.

Ova
 
Ni muhimu sana kuwa na ukaribu na mwanao ili awe huru kukuelezea anachofanyiwa shuleni au nyumbani ukiwa haupo.

Ila hapo kwa kusema bikra umeitoa umeiacha kwa mbali ni uongo mkuu
 
Sisi ndo tunapenda hivyohivyo msituamini, Amekukata mazoea kiaina maana ulikuwa hukauki kwake ndo maana akakuvutia kijiti ili akuzingue.
😁😁😁huyu mshenzi sana si angesema tu hataki wageni kwake
 
Sidhani kama ni hili tukio tu limekufanya usiamini wanaume hata ndugu yako. Inaonekana kuwa umekulia kwenye mazingira ya wanaume wenye tamaa za mwili kama mbwa na hawawezi kujizuia. Bila shaka ni hizi sehemu za uswazi ambazo ngono ni kama kula pipi tu. Nina uzoefu wa kuongea na wanawake waliokulia kwenye mazingira hayo, wote huwa hawaamini wanaume na ndiyo maana ndoa zao hazidumu.
Duh! Wewe ni mwanasaikolojia??
 
Kule kenya .........kuna mama kapewa mimba na mwanae eti kisa anampenda sana ........so akaamua kubeba na mimba ya mwanae kabisa sasa hawa sijui wanaitanaje??
Duh! Hii mbona hatari au ushirikina huy
 
Back
Top Bottom