Hili vazi ni sahihi kwa mwanaume?

Hili vazi ni sahihi kwa mwanaume?

Pennsylvania

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2019
Posts
335
Reaction score
503
Habari wakuu!

Kama ni mkazi wa Dar si ajabu kuona siku hizi wanaume kuvaa vazi la kibukta juu ya magoti. Ukienda clubs ni Kawaida sana kuona wanaume wamekivaa. Upande mwingine, unaibua mashaka kwanini mapaja yaonekane?

Hili mnalionaje?

Chini ni mfano wa post yangu.

Screenshot_20191031-183850.jpeg
 
Back
Top Bottom