Hili vazi ni sahihi kwa mwanaume?

Hili vazi ni sahihi kwa mwanaume?

Hyo nne ya Mo ukijaribu kuiweka utavunjika miguu. Heri utafute ela kwanza ukikaa nne inajikunja tu yenyewe
 
Inategemea ntu na ntu, kwangu mimi ni sahihi 100%. Chini kuwe na kiatu fulani hivi simple kikali na cha bei mbaya, na T-shirt isiwe na maandishi mengi na makubwa.
 
kwa mazingira ya nyumbani sio mbaya...ila kama nimtoko, hapana haifai kabisa.
 
Mwanaume kuvaa kibukta kifupi ni miyeyusho. Sio.mwanamke tu hata mwanaume kuonekana mapaja ni mambo mbaya. Dunia yenyewe ishaenda kibla..unavaa hvyo kumbe kuna manyalali yanakutolea udenda.
 
Hapana, anavaa pensi lakini juu ya goti kidogo tu au katikati ya goti mi na mashetani yangu huwa namshawishi avae hata fupi kabisa ananitoa nduki!

Binafsi ikiwa casual kamtoko fulani hivi sehemu fulani fulani sioni tatizo mwanaume akivaa hivo.
[emoji23][emoji23]

Mr hataki utani kabisa.

Kwa ulivyoelezea ni sahihi, mapaja yakionekana haileti picha nzuri labda mkiwa ndani ya mjengo.
 
Sisi wa mikoan hatuwez maana miguu yetu ina vigimbi na makovu makovu kutokana mbishe zetu za utafutaji ili kujikimu na maisha
 
Back
Top Bottom