Hili vazi ni sahihi kwa mwanaume?

Hili vazi ni sahihi kwa mwanaume?

Hata mimi nilichoka kwa mtu mwenye heshima zake hii hapana hapo yuko uchiii
 
Nilifikiri mjadala ni pozi nikataka kusema kitu kumbe kibukta,
wazee kama ni bukta acheni ushamba..au huwa hamuogi kiasi paja zimekuwa na ukurutu!
 
Watanzania katika ubora wao, Washamba, Limbukeni, Wajinga, na Wapumbavu, wanashangaa shangaa, kila kitu kwao kigeni

Utapotezaje muda wako kuongelea VAZI la mtu usiemjua,wala asiekujua..
 
Kwani enzi za mababu mlkua mnavaaje? Hivi nani ka introduce nguo jamani, mbona vipisi va majani vilkua bomba tu[emoji3]
 
Watanzania katika ubora wao, Washamba, Limbukeni, Wajinga, na Wapumbavu, wanashangaa shangaa, kila kitu kwao kigeni

Utapotezaje muda wako kuongelea VAZI la mtu usiemjua,wala asiekujua..
Sawa mjanja.
 
Kwa hiyo kwasababu wewe huvai basi wanaovaa wanakosea??

Waswahili bhana hebu mtoke kwenye shimo mje duniani muone watu wanaishi vipi.
Kabisaa mkuu, Kuna kitu kinaitwa exposure, hii kitu watu weusi hasa bongo tumekikosa sanaa, ukipata nafasi ya kutoka nje ya mipaka ya hii nchi utaona vile watu wanaishi na hawana mda wa kufatilia vitu vya kijinga jinga, "bukta juu ya mapaja", so what??? Mtu akivaa unapata shida gani?? Huo ushoga una relate vipi na bukta?
 
We unayemuwazia mwenzio vibaya shida ndio iko kwako. Ila mvaaji wala hana shida.
 
Back
Top Bottom