Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataman nikuone ukiwa ktk ilo vazi mkuu samahani lakini kwa kuvuka mipakaNapenda bukta/pensi sana, nikiwa home au mazingira ya home huwa sivai suruali, lakini ya juu ya magoti hapana.
Na pia unaweza kukuta yupo Public.Pennsylvania,
Picha za kuokota bila details zina shida, unaweza kuta mtu yupo swimming pool nyumbani kwake then mnatumia picha kama reference.
Angalia vizuri ipo.Mbona nimeona picha na ghafla haipo...[emoji848]