jamaa huenda yuko ifakara huyuItakuwa unasemea vumbi la Kigoma
mzee baba acha Umama; hivi maghorofa ya Kariakoo vumbi litakufiaje? njoo jangwan, magomen, mbez , tegeta na maeneo ya wazi kama gmykanaacha uongo Niko Kariakoo mbona hakuna vumbi wala kimbunga, tunauza simu kwa raha zetu
wale wenye nyumba mloweka mawe juu kubana bati kuweni makini!Mbona hata Dar maeneo kadhaa upepo upo kwa vipindi vifupi fupi. Night hata sasa asubuhi hii
Yani hata zile NYUMBA zenye mabati yasiyo imara kazi wanayo sio kwa huu upepowale wenye nyumba mloweka mawe juu kubana bati kuweni makini!
mda wowote mnaweza kuta jiwe limetua kitandani
sasa unakodolea😳😳 nini sasa na urijali wako !! chukulia yule kama angekuwa dadako ungetoa mimacho!?Jf kuna mada za ajabu sio kawaida doh mwanaume rijali uone mpaja ufumbe macho mh
Tena unaambiwa ni ukanda wote wa pwani, kuna jamaa yangu yupo Lindi boti yake imeng'oa nanga usiku wa manane bahati nzuri imeokotwa pembezoni ya bahari, ufukweni. Watu wote wachukue tahadhari hasa watumiaji wa vyombo vya usafiri majini.Yani hata zile NYUMBA zenye mabati yasiyo imara kazi wanayo sio kwa huu upepo
Njoo Mbagala ushuhudie.acha uongo Niko Kariakoo mbona hakuna vumbi wala kimbunga, tunauza simu kwa raha zetu