Vumbi kama lote; msimu Wa kimbunga mjini, wale wavaa sketi na misuli tuwasitiri; dada zetu kuadhilika nje nje! sketi zinafunuliwa mithili ya mwavuli;
balaa lioje wengine ndani hawavaagi chochote zaidi ya tandabui, ukiona hii wanaume tufumbe macho !!!
kwa wenye magari (keep distance) msisahau kukaa mbali na vi -babyWolker barabarani maana ni vinayumba balaa!!!
Ukisikia Upepo unaofumua m*ari*nda ndo huu!!
Usishangae kurudi nyumbani kwako ukakuta nyumba imeasogea!!!
Tahadhali inahusika!!!!