Atlast nimempata
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 585
- 1,166
Jamani huku mitaani hakupoi, kila kukicha hukosi nyumba yenye maandishi makubwa mekundu yenye lugha kali "HII NI MALI YA BANK INAUZWA".
Jamani, watu labda hawana elimu ya mikopo ya Bank au serikali imezembea kutoa elimu ya mikopo kwa watu wake?
Na wengi wa waathirika wa mikopo hii na kunyanganywa nyumba wanakuwa na nyumba hiyo tu kupelekea familia kuwa homeless. Hetu tujitathimini kama jamii😟😕😕😕