Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,723
- 19,715
Wakati unakopa na kuandikisha nyumba yako meno yote yalikuwa nje,umeshindwa kulipa,wanataka kupiga mnada unataka uihusishe serikali! Kwani wakati unachukua mkopo huo ulilazimishwa,je uliihusisha serikali? Kama majibu ni hapana,basi pambana na hali yako