Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Ulivyoenda kukopa uliishirikisha serikali?
Acha uongooooooooooYote haya kusababisha rais wa awamu ya sita.kalazimisha benki zote zitoze riba kuanzia 14% Hadi 30% tofauti na ilivyokuwa mwanzo kuanzia miaka mitano nyuma ambayo riba Kwa benki nyingi ilikuwa ni 7%.Bora ajiuzulu ili kuepusha unyang'anyi wa nyumbe Kwa mabeki Kwa wakopwaji
Napataje mkopo na mie jamaniWanadhani Bank wanagawa hela za bure😜😝
Kutoa elimu ya mikopo! Maana inaonekana watu hawaelewi
Mtu chake bwana. Achana na mambo ya watuJamani huku mitaani hakupoi, kila kukicha hukosi nyumba yenye maandishi makubwa mekundu yenye lugha kali "HII NI MALI YA BANK INAUZWA".
Jamani, watu labda hawana elimu ya mikopo ya Bank au serikali imezembea kutoa elimu ya mikopo kwa watu wake?
Na wengi wa waathirika wa mikopo hii na kunyanganywa nyumba wanakuwa na nyumba hiyo tu kupelekea familia kuwa homeless. Hetu tujitathimini kama jamii😟😕😕😕