Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

Hill anajua sana kuanzia maji, vinywaji baridi, vyakula vya mifugo, hadi chicken (hapa kwenye chicken Interchick wajiangalie sana)

Huyu mwamba kaja kufanya mapinduzi makubwa sana

Mungu hausiki kwenye mafanikio ya biashara ni ubora wa bidhaa, marketing, ubunifu na nidhamu ya kazi
 
Kilimanjaro water & Dasani hawana mpinzani hapa Tanzania 🇹🇿
 
Hill anajua sana kuanzia maji, vinywaji baridi, vyakula vya mifugo, hadi chicken

Huyu mwamba kaja kufanya mapinduzi makubwa sana

Mungu hausiki kwenye mafanikio ya biashara ni ubora wa bidhaa na marketing na nidhamu ya kazi
Mungu anahusika maana Mungu mwenyewe kwenye maandiko yake anasema tafuteni nanyi mtapata. Hiyo tafuteni ni sawa na kusema marketing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…