Himars fake zinawagharimu Urusi

Himars fake zinawagharimu Urusi

Ukraine wanastahili pongezi kwa mbinu.

JAPOKUWA: Warusi wangeamua kutangaza vita kamili bila kujali aina ya silaha nadhani sasa hivi tungekuwa tunaongelea aina nyingine ya vita na si vya Ukraine sababu huenda ingekuwa imechakaa.

(Ukiachilia mbali nuclear inasemekana wana heavy bombs).

Sijajua kwann hafanyi hivyo ila nachojua sababu ya kutokufanya kwake ni kwa maslahi ya Urusi na Dunia. Iwe ni anahofia respond ya mataifa mengine makubwa au ametumia ubinadamu kuavoid vifo vingi kwa pamoja au anazuia vita ya dunia, haijalishi, Warusi wanastahili kuheshimiwa kwa maamuzi ya kivita wanayochukua.
Urusi anataka kudhoofisha Ukraine sio maafa ya Rais.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Urusi mnaikuza midomoni tu ila field ni zero kabisa. nchi iliyokuwa ikisemwa kupiga nchi zote za Nato isingelikuwa bado inahangaika na ukrein kwa kipindi chote hiki.
uko sahihi urusi ni zero kabisa,inapigwa hata na tanzania,cha ajabu NATO & USA wanaiogopa kama ukoma,iraq ilivyoshambulia kuwait,faster waliingia mzigoni,ila syria na ukraine sijui wanachelewa nini..
 
Na pia ukisoma history ni kwamba Ukraine ndio mama wa Russia.
Nikimaanisha kuwa taifa la Russia asili yake lilitokea kyvu mji mkuu wa Ukraine hapo ndipo Russian walipokua orgnated
mambo ya historia hayana msaada mkuu,south africa,msumbiji,angola,zimbabwe uhuru wao walipata kwa msaada mkubwa wa TZ
lakini sisi leo haitusaidii kitu..
 
Sasa kama ni zero kwanini marekani na NATO wameungana mataifa 30 ili kumkabili Urusi?
Nipo dilemma, nimpuuze Putin kwa ahadi yake ya kumshughurikia yoyote atakae ingilia vita ya Ukraine ama nikubaliane na dai lako kwamba Nato inamkabili Urusi ndani ya Ukraine ?.
Putin alisema yoyote atae ingilia atapigwa, so madai ya kusema Nato hipo Ukraine ni madai yako wewe si ya Putin.
Putin na intelejensia yake hadi sasa hawana taarifa za uwepo wa Nato ndani ya ukrein, wangelikuwa wanajua kuwa Nato hipo ndani ya ukrein Nato wangelikuwa wameshashambuliwa na Urusi.
So, huu uwongo wa Nato kuwa ndani ya ukrein wakati Urusi haijui uwe unawasimulia watoto wenzio tu.
 
Kinyume Chake.

NATO Ni muunganiko wa Mataifa dhaifu hasa ya Ulaya Mashariki ambayo yalitafuta mbabe wa Urusi (Marekani) ili ayalinde dhidi ya Uvamizi wa Urusi. Marekani peke Yake aliisambaratisha USSR iliyokuwa na Mataifa 15 ikiwemo Urusi,iweje Urusi peke Yake apambane na NATO?

Ukiondoa Marekani kufaidika Kiuchumi kwenye NATO (Mataifa ya NATO yanalazimika kununua Silaha Nyingi kutoka Marekani ili kujilinda dhidi ya Urusi),Marekani haiihitaji NATO Kijeshi ili Kuishinda Urusi Vitani.
 
Ukraine wameweza kutengeneza Himas fake nyingi ambazo, Russian kwa kutumia makombora yake mazito yanayorushwa toka kwenye meli na submarine yamekua yakijikuata yanalenga matoi yaliyotengenezwa kwa mbao. Kumbuka kombora moja linagharimu us dollar milion1.2 na utengenezaji wake huchukua mwezi, mpaka sasa hivi matoi 10 ya himas yamelipuliwa, hii imewagharimu Urusi.

Ndio maana mwanzon Russia walidai wamelipua himas 4, siyo uongo walipiga kweli ila yalikua matoi.
Ukraine kinachowafanya kuleta upinzani kwenye taifa la Urusi, taaifa ambalo hakuna ubishi kwenye medan za kivita wako juu sana ni mbinu za kivita.

Ukraine wana mbinu nying sana kias cha kuwashangaza hata mataifa ya magharibi.

Nachoona Russia asipoangalia yatamkuta yaliyompata US kule Vietnam, maana wavetnam walikua na mbinu nyingi sana.
  • Ukraine has built a number of fake HIMARS truck-launched rocket systems.
  • Built from wood, the fakes have cost the Russian military millions in wasted missiles.
  • The deception operation is working so well that Russia claims to have destroyed more HIMARS than the U.S. government has even sent to Ukraine.
Ukraine’s small fleet of HIMARS rocket launchers are protected by an unlikely group of bodyguards: decoys that resemble the real thing. The decoys, constructed from wood, have repeatedly attracted the attention of Russian missile strikes. That has allowed Ukraine’s real HIMARS vehicles to continue firing in preparation for the long-awaited counteroffensive, which began this week.

Source: Yahoo world news
Swali dogo tu, hivi kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuamini ngojera za wasanii hawa akina Zelensky na genge lake.

For a starter- Warusi wana wanasayansi na maiinjia mahili Duninani - kumbukeni sana hilo, anayesema missiles za Urusi haziwezi kutofautisha baina ya toy la plastic na mbao or composite material ambazo ni bad conductor wa umeme na mawimbi ya Radio - Warusi sio mabumbubu kama propaganda hizi za kitoto zinazo sambazwa na media za magharibi,habari hizi za kuchonga kuhusu the so called wooden HIMARS, repeat, media za magharibi including social media wamelivalia njuga kweli kweli, wanafikiri watu hawana hakiri ya kung'amua kinacho endelea nyuma ya pazia.

Now a million dollar question, is: kwa nini suala hili linahibuka ghafla baada ya Zelensky kuanzisha kile anacho kiita ni counter offensive ya jeshi lake yenye lengo la kulikomboa jimbo la Kherson, walipo shituka kwa kuona operation yao haiwaendei vizuri pamoja na HIMARS roketis kutunguliwa kwa wingi pamoja na HIMARS kuharibiwa na jeshi la Urusi, ndio maana akina Zelensky na genge lake wakaja na stori za kubuni tu kwamba Warusi wamezidiwa kete na jeshi la Ukraine baada ya kuwategeshea Warusi HIMARS zilizo tengenezwa kwa mbao hivyo kuwatia hasara kubwa Warusi wanao tumia missiles zinazo gharimu mamillion ya fedha kuharibu toys zinazo gharimu fedha ndogo sana kuzitengeneza - cha kujiuliza hapa ni kitu gani kinawafanya jeshi la Ukraine kuanika adhalani siri zinazo wawezesha kulitia hasara jeshi la Urusi - uwazi wao unawasadia nini katika mapambano yao dhidi ya Urusi - hii inaingia akili kweli??

Ukweli wa mambo ni kwamba jeshi la Ukraine lilifanya blunder kubwa ya kujitia kutaka kukomboa Kherson mpaka sasa jeshi la Ukraine limelemewa hawajafanikisha chochote cha maana katika operation nzima zaidi ya kupoteza wanajeshi wengi na zana zao za vita zikiwemo HIMARS ndio maana wanakuja na stori hii ya wooden HIMARS wakiwa na lengo la kutaka kuikatisha tamaa Urusi ili hisiendelee kusaka HIMARS zilizo baki na kuziangamiza a very clever ploy by Zelensky military top brass, wakifikiri Warusi hawana hawawezi kulitambua hilo kirahisi na kuendelea kuzisaka HIMARS kwa udi na uvumba.
 
Upo vizuri,,,vitu vyenye asili ya chuma na mbao wap na wap !!!
 
Tuliza boli mkuu tusubir tuine
 
Kinyume Chake.

NATO Ni muunganiko wa Mataifa dhaifu hasa ya Ulaya Mashariki ambayo yalitafuta mbabe wa Urusi (Marekani) ili ayalinde dhidi ya Uvamizi wa Urusi. Marekani peke Yake aliisambaratisha USSR iliyokuwa na Mataifa 15 ikiwemo Urusi,iweje Urusi peke Yake apambane na NATO?

Ukiondoa Marekani kufaidika Kiuchumi kwenye NATO (Mataifa ya NATO yanalazimika kununua Silaha Nyingi kutoka Marekani ili kujilinda dhidi ya Urusi),Marekani haiihitaji NATO Kijeshi ili Kuishinda Urusi Vitani.

Semeni ukweli - wakale usema "msema ukweli ni mpenzi wa Mungu" mkuu ni hivi: Merikani wala haikuhusika chochote katika usambaratikaji wa Soviet Union, sijui kwa nini media za magharibi upendelea sana kueneza taarifa za uongo na za kubuni tu, watu wengi Duniani wali amini sana uzushi huu.

Ukweli ni kwamba Russian Federation na former Soviet Republics walikaa chini wakakubaliana kutengana kila republic ijitawale yenyewe washirikiane tu kwa mambo ya biashara nk, hapakuwepo shinikizo lolote kutoka Merikani wala nini sijui.

Wanzilishi wa kusitisha vita baridi ni Wamerikani yenyewe sio Urusi - mkewe Rais Reagan, Mrs Nancy Reagan ndiye alimshauri mumewe kwamba ajaribu kumpigia simu Gorbachev amshurutishe kwamba wasaidizi wao wakutane na kufanya taratibu za wao kukutana na kumaliza tofauti zao, hasa hasa usitishaji wa vita baridi (cold war) najua watu wengi watanipinga kwamba iweje mke wa Rais awe na uwezo wa kuwa mwanzilishi wa yote haya, kwani alikuwa na cheo gani Serikalini - ukweli wa mambo ni kwamba she did it na kufanikiwa by 100%!!

Watu wengi wanao fahamu kwa karibu familia ya Reagan usema ingawa Nancy alikuwa mdogo kwa umbo na mfupi, lakini alikuwa na akili nyingi na hekima sana na Reagan mwenyewe alikuwa anasikiliza sana ushauri wa Nancy na kuuchukulia seriously, huo ndio ulikuwa ndio mwanzo wa kusitisha vita baridi mwanzilishi kama nilivyo sema tangu mwanzo kwamba wanzilishi wakikuwa ni Wamerikani wenyewe na wala si Warusi - kwa bahati mbaya au kimakusudi vyombo vya habari vya magharibi ueneza habari tofauti kabisa na za Uongo, eti: Urusi ilishindwa vita baridi baada ya kishindwa kumudu gharama za ushindani wa uundaji wa silaha za kijeshi baina yake na Merikani - waongo wakubwa sana hawa, uzuri ni kwamba wenye kufuatia kwa karibu kuhusu ukweli kwa kile kilicho tokea wanajua ukweli huko wapi na sio western inept propaganda 24X7, hata uwezi kujua deep down wanakuwaga na malengo gani kwa kueneza taarifa za kutunga tu na kushinikiza Dunia kiaina ili ikubaliane na uongo wao.
 
... ndani ya muda mfupi tangu wapokee HIMARS, Ukraine tayari wana fake kadhaa za HIMARS ambazo zimewaingiza mavamizi hasara kubwa kazi ambayo wameifanya wakiwa katikati ya vita moja ngumu sana sio watu wa kawaida. Inaonekana hata military science and logistics yao sio ya mchezo mchezo.

No wonder Putin anataka Ukraine irudi Russia anajua ni kizazi fulani cha watu wenye akili nyingi sana ila bahati mbaya ndio hivyo hatofanikiwa.
hao ndo wazaz wa Urus ya leo
 
Ukraine wanastahili pongezi kwa mbinu.

JAPOKUWA: Warusi wangeamua kutangaza vita kamili bila kujali aina ya silaha nadhani sasa hivi tungekuwa tunaongelea aina nyingine ya vita na si vya Ukraine sababu huenda ingekuwa imechakaa.

(Ukiachilia mbali nuclear inasemekana wana heavy bombs).

Sijajua kwann hafanyi hivyo ila nachojua sababu ya kutokufanya kwake ni kwa maslahi ya Urusi na Dunia. Iwe ni anahofia respond ya mataifa mengine makubwa au ametumia ubinadamu kuavoid vifo vingi kwa pamoja au anazuia vita ya dunia, haijalishi, Warusi wanastahili kuheshimiwa kwa maamuzi ya kivita wanayochukua.
unatengeneza silaha hlf hujui kuzitumia ? wkt anaepewa anajua kuzitumia , uwezo wako utaonekana kwa kutumia silaha sw na za adui na sio kutaka kutumia silaha advanced zaid ya mwenzio
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hiyo iliitwa Kievan Rus. Miaka ya 800 uko ndio ilikuwepo hiyo dynasty ikiunganisha eneo kubwa la Ukraine, eneo la Belarus na eneo kidogo la Russia ya sasa.

Baadae miaka ya 1500s akaja Ivan the Terrible akiwa Grand Prince wa Moscow na ndio akawa Tsar wa kwanza wa Russia.
sio eneo kdg la Urusi bali strategic part pf Russia yote ilikuwa chini ya Rus kiev yaan hiyo moscow , st Petersburg na majiji yote ya magharibi ya Urusi
 
Nipo dilemma, nimpuuze Putin kwa ahadi yake ya kumshughurikia yoyote atakae ingilia vita ya Ukraine ama nikubaliane na dai lako kwamba Nato inamkabili Urusi ndani ya Ukraine ?.
Putin alisema yoyote atae ingilia atapigwa, so madai ya kusema Nato hipo Ukraine ni madai yako wewe si ya Putin.
Putin na intelejensia yake hadi sasa hawana taarifa za uwepo wa Nato ndani ya ukrein, wangelikuwa wanajua kuwa Nato hipo ndani ya ukrein Nato wangelikuwa wameshashambuliwa na Urusi.
So, huu uwongo wa Nato kuwa ndani ya ukrein wakati Urusi haijui uwe unawasimulia watoto wenzio tu.
Mbona husemi UKRAINE, USA, na EU "NATO" walisema wataifuta RUSSIA ndani ya UKRAINE kabla ya September lakini hadi leo hii hakuna lolote [emoji848][emoji1787]
 
Kinyume Chake.

NATO Ni muunganiko wa Mataifa dhaifu hasa ya Ulaya Mashariki ambayo yalitafuta mbabe wa Urusi (Marekani) ili ayalinde dhidi ya Uvamizi wa Urusi. Marekani peke Yake aliisambaratisha USSR iliyokuwa na Mataifa 15 ikiwemo Urusi,iweje Urusi peke Yake apambane na NATO?

Ukiondoa Marekani kufaidika Kiuchumi kwenye NATO (Mataifa ya NATO yanalazimika kununua Silaha Nyingi kutoka Marekani ili kujilinda dhidi ya Urusi),Marekani haiihitaji NATO Kijeshi ili Kuishinda Urusi Vitani.
USA inaihitaji NATO kuliko NATO inavyoihitaji USA kuipiga RUSSIA.

Rejea kwanini USA ilazimishe kuweka NATO BASE hapo UKRAINE karibu na RUSSIA kama kweli hana shida na NATO kuisambaratisha RUSSIA [emoji848][emoji28]

Umesahau USA ilishawahi kuitaka RUSSIA kutoa military base pale CUBA la sivyo ingeanzisha vita na RUSSI?

Kwanini iwe nongwa kwake USA hivi sasa kutoa NATO base pale UKRAINE karibu na RUSSIA [emoji848][emoji3]

Au ndiyo nyani haoni kundule [emoji848][emoji38]
 
Back
Top Bottom