Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Salama kabisa Mkuu wangu,huwa nachungulia mara chache,hapa kati ratiba zilibana kidogo si unajua tupo Nchi ya tozo kila angle.Kwa ufafanuzi huu hapa nimekuelewa,unakumbuka nilichosema,hii 'vita' tutakula Christmas ikiwa bado ipo?Salama boss, sijakusikia muda...
Kuivamia nchi nyingine si jambo sahihi hilo lipo wazi. Heshima ninayoiongelea ni ile ya kiupinzani. Mfano Simba inapocheza na yanga kuna heshima japo inacheza na utopolo.