Himars fake zinawagharimu Urusi

Hamna kitu hapo hayo matoi ndo yaliwadanya WA Ukraine waingie kichwa kichwa pale khersan eti ku counter offensive dadeki ndani ya nusu saa LA kwanza wanajeshi WA Ukraine zaidi ya 560 walichinjwa hapo hapo
 
Wazee wa game changer na kila siku mnakula kichapo
 
Kwani NATO imeishaingia mzigoni?? Au nchi yoyote ile imeingia mzigoni kupambana na Russia ktk vita ya ukrain
Kwa kufuata ahadi ya Putin na misimamo yake Nato haipo ndani ya ukrein ndiyo maana Urusi haina mpango na Nato.
Ikiwa utasema Nato hipo ndani ya Ukrein unamfanya Putin kuwa mwongo na Mropokaji. kwa umri ule na wadhifa alionao siwakuahidi kitu na asikifanye tena katika jambo sirias linalotafuna taifa lake.
 
Watanzania wengine wakengese sana sasa wanavyoiongelea Ukraine utazani wanaijua kuliko warusi wanavyoijua eti maraa ooh kizazi cha Ukraine ndo kina akili maraa ooh Ukraine ndo mama wa urusi mara ooh Ukraine wana mbinu nyingi kivita.....achane ayoo mambo yakukuza vitu vya propaganda wakati kuna jitu hapa ndo limetoka kuamka halina hata pakwenda yaani no direction kazi yake ni kutupanga tu humu eti Ukraine nomaa...alafu kesho Ukraine akizidiwa atakuja tena ooh unajua Russia noma zaidi...Alafu wengi wao ni wanyakyusaa tupu yaani badala awaze atalima vipi maparachichi yeye yupo bize na propaganda za Ukraine......
Mwigulu mwigulu nakuona nakuona.......nchembaa ametuzalia mtoto wa hovyoo kabisaaaa tangu Tanzania ipate Uhuru wake...just for funny not serious..
 
Mkuu tuliza hasira hata sisi tozo zinauma
 
Kwani NATO imeishaingia mzigoni?? Au nchi yoyote ile imeingia mzigoni kupambana na Russia ktk vita ya ukrain
Sasa Mbona mnakenua meno mkisema eti Russia anapambana na NATO na sio Ukraine pekee? Wakati huo unakili kwamba Wanajeshi wa NATO hawako Ukraine? Ndio maana Mimi nawaitaga Vichaa. Mnakuwa na mahaba mpaka mnasahau mnachosimamia.
 
Mahaba hupunguza uwezo wa kufikir mkuu,asante umeliona hilo
 
Sasa Mbona mnakenua meno mkisema eti Russia anapambana na NATO na sio Ukraine pekee? Wakati huo unakili kwamba Wanajeshi wa NATO hawako Ukraine? Ndio maana Mimi nawaitaga Vichaa. Mnakuwa na mahaba mpaka mnasahau mnachosimamia.
NATO na Europe union wapo, wameingia kama mamluki na ndio kitu kinachumpa shida Russia kulianzisha maana atakosa ushaidi wa kutosha
 
NATO na Europe union wapo, wameingia kama mamluki na ndio kitu kinachumpa shida Russia kulianzisha maana atakosa ushaidi wa kutosha
Point ,mapro Russia kama nyie ndio mnatakiwa humu ,mnatoa vitu unaona mtu kaongea,wkend njema mkuu
 
Hawa jamaa usumbuliwa sana na majivuno,ujeuri,uchonganishi mataifa yasielewane na kujiona wao ni zaidi - mataifa mengi Duniani hayakubaliani na ufedhuli huu lakini hayasemi moja kwa moja yanasubiri kujiunga na BRICS alliance na kutumia medium of exchange mbadala kuliko Dollar ambazo zina tumika zaidi kwenye malengo ya Geopolitics na hujuma za kiuchumi kwa Mataifa shindani - unfortunately Uncle SAM and like mind wenzake never saw it coming!!
 
Inaonekana haufuatilii habari. Hiyo Medium of Exchange unayoizungumzia Ni ipi? Kama Union Pay ya China imeigomea Russia kuwa mbadala wa Master Card na Visa Card unafikili Nani atakanyaga nchini Urusi Kama sio Hawa Kindergarten ambao ndio wanaanza Biashara Kama Hawa Wahindi?
 
Wewe hebu Acha kukalili....Russia vita hii mbaya kwake imeenda tofauti na alivyodhani....leo wanabembeleza wafungwa waende vitani hii maana yake nini?....russia uwanja wa mapambano anapigika vilivyo....vita hii imemuondolea heshima russia kwa mataifa mengine ambayo walikuwa wanaiogopa....
 
Acha fix wakati mke wa regan anamshaur mumewe wewe ulikuwepo?
 
Lakini Urussi angestahili heshima kama asingevamia kabisa.Hii ya sasa ni kwamba yupo kwa dilema baada ya kuona response ya Wababe wenzie.Anajua kabisa nini kitakwenda kutokea kwake kama Taifa akijaribu kuvuka mstari mwekundu.
 
Salama boss, sijakusikia muda...
Kuivamia nchi nyingine si jambo sahihi hilo lipo wazi. Heshima ninayoiongelea ni ile ya kiupinzani. Mfano Simba inapocheza na yanga kuna heshima japo inacheza na utopolo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…