Himars fake zinawagharimu Urusi

Salama boss, sijakusikia muda...
Kuivamia nchi nyingine si jambo sahihi hilo lipo wazi. Heshima ninayoiongelea ni ile ya kiupinzani. Mfano Simba inapocheza na yanga kuna heshima japo inacheza na utopolo.
Salama kabisa Mkuu wangu,huwa nachungulia mara chache,hapa kati ratiba zilibana kidogo si unajua tupo Nchi ya tozo kila angle.Kwa ufafanuzi huu hapa nimekuelewa,unakumbuka nilichosema,hii 'vita' tutakula Christmas ikiwa bado ipo?
 
πŸ˜€ πŸ˜€πŸ˜€ Nakumbuka, bado miezi mitatu.
 
Kinachoendelea Ukraine ni vita kamili na Urusi wameshatumia silaha zote kasoro nuclear tu.
 
Uko sahihi, wakati Moscow ikiwa kijiji Kyiv ilikuwa tayari ni jiji kubwa Ulaya.
Na pia ukisoma history ni kwamba Ukraine ndio mama wa Russia.
Nikimaanisha kuwa taifa la Russia asili yake lilitokea kyvu mji mkuu wa Ukraine hapo ndipo Russian walipokua orgnated
 
Ha ha ha ila nchi za kijamaa zina mikwara aiseee, nkikumbuka mikwara ya putin kabla ya hii vita na mwanzoni mwa hii vita, nikitazama vita hapa ilipofika, kweli Russia tulimkuza mdomoni tu.

Nikikumbuka na biti la China pale Taiwan ndo kabisaaa, nchi za kijamaa ni upupu mtupu.
 
Kinachoendelea Ukraine ni vita kamili na Urusi wameshatumia silaha zote kasoro nuclear tu.
Mkuu umenichekesha sana ,ila supa pawa wetu wa mchongo katembezewa kichapoa siyo mchezo
 
Mkuu lile biti la China ndio fungal mwaka eti ukichezea moto utakuunguza ,pelos akazama Taiwan kama tunavyozama chooni,macho madogo mpaka leo sijamsikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…