Himid Mao achukizwa na kitendo Cha ushirikina wa Simba

Himid Mao achukizwa na kitendo Cha ushirikina wa Simba

Kiungo wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga klabu ya El Geish ya ligi kuu ya Misri Himid Mao, akemea vikali vitendo vya shabiki au mchezaji kwenda kutoa mataulo ya makipa golini katika ligi kuu ya Tanzania.

Himid amesema vitendo hivyo si sawa katika dunia ya sasa tena kwa ligi inayoonekana kwenye televisheni
Hajaona Mzize akitoa taulo golini, hajaona ya Kibwana Shomari akitoa taulo, mpuuzi tu huyo
 
Sasa Kwann shabiki aingie uwanjani
Unakumbuka ile mechi ya Simba na Yanga , half time Simba inaongoza 2-0 Kuna shabiki wa Uto kipindi Cha pili aliingia katikati ya Uwanja ndani ya dk 10 goli mbili zote zikarudi mchezo ukaisha 2-2 . Utopo mnapenda ndumba nyinyi. 😂😂😂
 
Haijawahi tokea hiyo mkuu
 
Waanzilishi wa kuteka vitaulo vya makipa wanajulikana
 
Back
Top Bottom