Himid Mao achukizwa na kitendo Cha ushirikina wa Simba

Himid Mao achukizwa na kitendo Cha ushirikina wa Simba

Mechi ya Singida na Namungo nayo mambo ni yale yale, Baadhi ya wachezji wa Namungo wana pekua golini kwa Singida kama wamepoteza pesa.
Simba wameleta michezo ya ajabu mbaya zaidi inafanyika mbele ya Camera.
Vitendo vya hovyo vinazidi kushika kasi.
Umesahau waanzilishi wa kupigwa fine kwa kufukuana kuchukua ni mzinze na kibwana
 
Mechi ya Singida na Namungo nayo mambo ni yale yale, Baadhi ya wachezji wa Namungo wana pekua golini kwa Singida kama wamepoteza pesa.
Simba wameleta michezo ya ajabu mbaya zaidi inafanyika mbele ya Camera.
Vitendo vya hovyo vinazidi kushika kasi.
Wewe mbunye, Yanga walitoka kupigwa fain kwa kosa hilohilo na team ni hivyohivyo unapofikiri tumia kichwa sio kama umekalia kipisi huko kwenye mwiko wako
 
Nina wasiwasi unaponiambia unaitafuta degree ya pili mbona una majibu ya rejareja kama mtoto wa form one D ? 😂😂😂
Yaaah mkuu.... matajiri+ wasomi ....ndivyo tulivyo
 
Attachments

  • Screenshot_20240317-023620.png
    Screenshot_20240317-023620.png
    1.3 MB · Views: 2
Na tutaroga san mwaka huu mtake msitake maan africa jadi yetu ni dumba ko jiandaeni team zote za ligi kuu tutawapiga dumba mpka mchakae na huyo himid na pua lake kama kwapa la asha mashauzi asijione kwamba hajui kuroga ana hiriz mpka matakoni na chale nyuma ya masikio
 
Back
Top Bottom