Himid Mao achukizwa na kitendo Cha ushirikina wa Simba

Hajaona Mzize akitoa taulo golini, hajaona ya Kibwana Shomari akitoa taulo, mpuuzi tu huyo
 
Sasa Kwann shabiki aingie uwanjani
Unakumbuka ile mechi ya Simba na Yanga , half time Simba inaongoza 2-0 Kuna shabiki wa Uto kipindi Cha pili aliingia katikati ya Uwanja ndani ya dk 10 goli mbili zote zikarudi mchezo ukaisha 2-2 . Utopo mnapenda ndumba nyinyi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haijawahi tokea hiyo mkuu
 
Waanzilishi wa kuteka vitaulo vya makipa wanajulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…