Himid Mao achukizwa na kitendo Cha ushirikina wa Simba

Ndo hivyo mkuu.... makombe mtayasikia kwenye redion😂
 
Ukweli ni kwamba Simba hawawezi kuacha Ushirikina hata iweje

Waliroga South Afrika waziwazi kabisa uwanjani mpaka wakapigwa faini lakini hawaachi uchawi

Hii timu bila uchawi hamna kitu

Makolo mtaroga mpaka lini?
 
Ukweli ni kwamba Simba hawawezi kuacha Ushirikina hata iweje

Waliroga South Afrika waziwazi kabisa uwanjani mpaka wakapigwa faini lakini hawaachi uchawi

Hii timu bila uchawi hamna kitu

Makolo mtaroga mpaka lini?
Daah ... kwanini wasisajili quality players...Ili mateso yaishe???
 
Mao ameeleza kuchukizwa na vitendo vya mashabiki na bàadhi ya Wachezaji kuendekeza Imani za kishirikina na kuondoa taulo za makipa golini. Hajataja timu na vitendo hivi vimefanywa na Wachezaji wa Yanga (Mzize+Kibwana) na mashabiki wa Simba pale Chamazi juzi. Hii ni aibu Kwa soka la nchi hii. TFF ianze kuadhibu pia makipa wanaoonekana Wazi wakifukia hirizi, sindano na kumwaga unga. Wasisubiri kuadhibu wanaofukua wakati waliofukia walionekana.
 
Mechi ya Singida na Namungo nayo mambo ni yale yale, Baadhi ya wachezji wa Namungo wana pekua golini kwa Singida kama wamepoteza pesa.
Simba wameleta michezo ya ajabu mbaya zaidi inafanyika mbele ya Camera.
Vitendo vya hovyo vinazidi kushika kasi.
Wakwanza kupigwa faini ni wachezaji wa yanga mbona unajizima data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…