Hip Hop Diss Tracks: Dizasta Vina amjibu Rapcha

Nikizipata calpiso hip pop na funky hip pop za miaka hiyo nitakupatia links mdogo wangu!!!Msibishane thats not hip pop culture bali mpeane maarifa!!!Wote kwa kiasi chake mpo sahii
 
Sasa huo utamaduni sio Hip Hop?
 
Upo sahihi,
 
Mkuu Hip Hop ilianza miaka ya 60, hiyo 70s ni kutambulika rasmi ukitaka kugundua hilo we angalia historia ya Hip Hop dance ilianzia mwaka gani
Dance ilianza late 1960s sijakataa,

Nazungumzia pale DJ alipoamua kufanya mixing, MC akaamua kutembea juu ya ngoma then kikaletwa kitu kinaitwa Rap ilianza mwaka gan?
 
Kwa tunaomfahamu vizuri Dizasta vina hamna kipya hapa, ufundi wa hali ya juu kwenye ngoma zake ni asili yake. Hakuna reply / counter-battle ya maana itatoka kwa Rapcha mpaka siku Yesu anarudi kwa mara ya pili.
 
Dance ilianza late 1960s sijakataa,

Nazungumzia pale DJ alipoamua kufanya mixing, MC akaamua kutembea juu ya ngoma then kikaletwa kitu kinaitwa Rap ilianza mwaka gan?
Sasa utamaduni wa Hip Hop haupo hivyo mzee, hizo mixing ni sehemu ndogo sana kwenye hip hop
 
Nikizipata calpiso hip pop na funky hip pop za miaka hiyo nitakupatia links mdogo wangu!!!Msibishane thats not hip pop culture bali mpeane maarifa!!!Wote kwa kiasi chake mpo sahii
Hapa ishu ya HIPHOP ilianza lini ni secondary, ishu ya msingi ni je, mziki wa rap ulianza kiharakati burudani ikaja baadae au ulianza kama burudani harakati sikaingia baadae? (Hata kama baadae ni gap la miezi)
 
Unavitenganishaje hivyo viwili?
huu ni utamaduni huu ni mziki..sawa mziki upo ndani ya utamaduni lakn ni small part...utamaduni ni kitu kikubwa zaidi ya mziki.
utamaduni unahusisha kuvaa,kuongea,kucheza,mienendo, ila mziki ni mziki tu unahusu mashairi,sauti,style,beats nk.
Utamaduni unaweza ukaanza kabla ya mziki na mziki pia unaweza ukawa kichocheo cha kuleta utamaduni.
 
Eti huu ni utamaduni na huu ni mziki

So Mziki sio utamaduni?

Halafu mwanzo ulivyosema walikuwa wanapiga freestyle nikajua utaishia hapo maana tayari umesha jijibu

Freestyle ni nini?
 
Ndio nami jamaa kanichanganya, au hajui maana ya double entendre..Rakim ni rapper anaesifiwa kwa rhymes kali na za kuelemisha, na AKA maarufu tangu miaka hiyo ya Rakim in GOD MC..nje ya mada,hivi kuna rapper US mwenye punchlines kumzidi Big L???
I crush rappers like cornbread,
You can't kill me, i was born dead.

Sikupata kumsikiliza (I was young by the time), ila sehemu nyingi sana nimesikia akitajwa as the best kwenye punchlines!
 
Hapa ishu ya HIPHOP ilianza lini ni secondary, ishu ya msingi ni je, mziki wa rap ulianza kiharakati burudani ikaja baadae au ulianza kama burudani harakati sikaingia baadae? (Hata kama baadae ni gap la miezi)
Ulianza kiharakati mdogo wangu
 
I crush rappers like cornbread,
You can't kill me, i was born dead.

Sikupata kumsikiliza (I was young by the time), ila sehemu nyingi sana nimesikia akitajwa as the best kwenye punchlines!
I'm so ahead of my time my parents haven't meet yet
 
Eti huu ni utamaduni na huu ni mziki

So Mziki sio utamaduni?

Halafu mwanzo ulivyosema walikuwa wanapiga freestyle nikajua utaishia hapo maana tayari umesha jijibu

Freestyle ni nini?
sawa freestyle walikuwa wanapigia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…