Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Nikizipata calpiso hip pop na funky hip pop za miaka hiyo nitakupatia links mdogo wangu!!!Msibishane thats not hip pop culture bali mpeane maarifa!!!Wote kwa kiasi chake mpo sahiiUtaje huo wimbo, kwanini tuandikie mate?
Mimi nasema hakukuwa na mwimbo ilikuwa ni ile utamaduni wa maMC kuvamia party kumwambia DJ aachie sehemu ya biti la funk lisilo na vocal anaanza kuchana juu ya mabiti kama freestyle, kurekodi ndio wakaanza kurekodi hiyo 79
Wewe unayesema mimbo ilikuwepo before itaje.