HipHop Fans: Ni underground rapper yupi ambaye anafanya vizuri kuliko baadhi ya mainstreams rappers?

Nilijua utakuwa unamjua Mzee ..[emoji28] Mbona huyo mwanae Sana dizastavina na nafikiri kipindi cha nyuma waliunda crew Yao inaitwa panorama...Ila Kwasahv naona atakuwa ametulia kidogo na maswala ya mziki
Hapana simjui kabisa

Amefanya naye ngoma ipi?
 
Nahisi Wana Ngoma hata ukisearch kwenye platforms km mdundo utazipata.....dubo ana Ngoma yake inaitwa Mayweather hata YouTube ipo
Yap nimejaribu kum search YouTube nimemuona, siluwahi kumjua kabla

Mchizi kafanana sana na Kadgo
 
Najua wengi ni mashabiki wa wasanii fulani fulani wa mziki pendwa wa hip hop ila leo nataka tuangazie kidogo hawa ma underground hip hop.

Katika tansina ya muziki huu wa hip hop tunaona jinsi gani evolution ilivyobadili ladha ya mziki huu kiasi cha wasanii kuimba nyimbo ambazo hazina lyrical wala critical.

List yangu ni hii hapa na wewe unaweza kuweka yako.

1. Dizasta vina
2. Nala mzalendo
3. Kadgo
4. Boshoo ninja
5. Kinya mistari
6. Shaolin senetor
7. Mbeya boy chuma
8. Hamis mistari
9. Ado gado
10. Nyenza MC

Wapo wengi ila kwasasa nianze na hao halafu chini nitanukuu mistari yao katika baadhi ya nyimbo zao
Ukishakuwa 'underground' inamaana hauna ubora, ukitoa hits zikatamba automatically utaingia mainstream, mainstream hauwezi kujiingiza bali kazi zako ndiyo zitakufikisha huko.
Kuna artists kwenye hiyo orodha yako huwa mpaka wanaenda kuhojiwa na mainstream medias lakini huwa kazi zao ndizo zinawakandamizia hukohuko underground.
Kuna tracks ukisikiliza utabaini kabisa hazina mashiko lakini kwa some goons ni ngoma haswa, hii dunia majority rules so if you wanna reach somewhere you gotta convince the majority that you deserve to be among the greats.
 
tafsiri ya underground kwenye rap game kimbelembele. underground rappers sio commercially ...hawarap Kwa ajili ya pesa they rap ili usikie lyrics zao na upate chakula cha ubongo....hii ni ya kwako eti underground hawana ubora[emoji1787][emoji1787] ..hawa underground rappers Kiuwezo wapo vzuri kuliko hao whack mainstream rappers wenu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Nilimkaushia nikiwa na sababu
 
Hakuna rappers underground ambao ni bora zaidi ya big moguls in the game, mifano mingi ya hao rappers walio kwenye list huwa wanaenda kuhojiwa kwenye media. Lengo lao obvious huwa kupata publicity ila kazi zao ndiyo hushindwa kutoboa.
Huku US wapo wengi ambao huishia kuvuma kwenye states zao(mainly hujulikana kama local) lakini one big hit humnyanyua artist kuwa national celeb.
Matokeo ya mapokeo ya kazi ndiyo kipimo, hizo cheap excuses ni sawa hadithi ya sungura ya 'sizitaki mbichi hizi'.
 
Inategemea na namna unavyo tafsiri ubora

Kwako wewe Lunya ni bora zaidi ya Dizasta kwasababu tu Lunya yuko mainstream muda mwingi kuzidi Dizasta

Underground hip hopo ni mziki special kwa watunza misingi (MC'S)

Hip hop Commercial ni modern rap ambayo inafanywa na marapa kwa ajili ya ku entertainment
 
Kwako kama Dizasta ni bora iendelee kuwa kwako lakini what matters ni nani ni bora kwa majority, hata angekuwa hatembelei media ku-promote zenyewe zingetembea na ku-shine kwenye mainstream media lakini huwa anatembelea media na kazi bado hazitembei sana.
Narudia tena, kitu kizuri huwa kinajiuza chenyewe na wewe kukikubali kitu it doesn't necessarily mean kwamba hicho ni bora kama ni wachache wanaokikuona bora.
Tupac alivuma kwa story telling na TZ mfano ni Prof J story telling ndiyo iliyomuweka juu, Snoop na BIG ukali wa flows ndiyo main weapon iliyowapaisha. Ukiwa na mkali either katika story telling au style yako ya flows lazima upae tu hata iweje.
 
Sasa Hapa unazungumzia ubora WA Kiuwezo au publicity.[emoji1787]...kama publicity hao whacky rappers wapo zaidi Ila Kiuwezo wengi underground rappers wapo vzuri Sana kuliko hao mainstream rappers na IPO hvyo hata huko mbeleni US ....huwezi kusema lil baby NI Bora Kiuwezo kuliko hopsin.. au Ney WA mitego awe zaidi ya stereo hell no...

Kipimo cha kujua nani bora kinapimwa kuzingatia misingi ya Hi Hop

Unampima msanii kwa vitu kama lyrical, delivery nk

Jiulize hao wasanii wako unaowataja wame qualify hivyo vigezo?
 
Sasa Hapa unazungumzia ubora WA Kiuwezo au publicity.[emoji1787]...kama publicity hao whacky rappers wapo zaidi Ila Kiuwezo wengi underground rappers wapo vzuri Sana kuliko hao mainstream rappers na IPO hvyo hata huko mbeleni US ....huwezi kusema lil baby NI Bora Kiuwezo kuliko hopsin.. au Ney WA mitego awe zaidi ya stereo hell no...

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hopsin ni good rapper na Lil Baby ni great rapper

Kuna tofauti ya maana kati ya good na great
 
Inategemea na namna unavyo tafsiri ubora

Kwako wewe Lunya ni bora zaidi ya Dizasta kwasababu tu Lunya yuko mainstream muda mwingi kuzidi Dizasta

Underground hip hopo ni mziki special kwa watunza misingi (MC'S)

Hip hop Commercial ni modern rap ambayo inafanywa na marapa kwa ajili ya ku entertainment
Huo ujinga wa 'watunza misingi' uko kwa failures tu, the end is what justifies the means. Mtu anafeli anakuja na cheap excuses eti mtunza misingi, huyo Dizasta unayemzungumzia huwa anatembelea medias kufanya promotion ya nyimbo zake, why the damn hell does he do that kama si kuhangaikia namna ya kupenya ili atoboe kama wengine ambao sadly you despise them big time.
Good rapper hata asipo-promote kazi zake zitampeleka zenyewe mainstream, those are the key words that's whether you understand what I mean or you ain't capable of understanding.
 
Huo ujinga wa kutoiheshimu misingi ya Hip Hop upo kwa ma-teenagers

Dizasta kutembelea media ndio kunaondoa aina yake ya mziki anao rap?

Kama amekuwa akitembelea media nawewe umehusisha swala hilo na ishu ya ku-seek fame kwanini pamoja na hilo bado hujamuona aki switch kutoka hardcore rap kwenda kwenye mumble rap kama kina Lunya?

Best rappers hata wasiposikika mainstream bado sio kitu cha ku undermine uwezo wao.

Kwa wanaojua mziki wa Hip Hop hawawezi kupata shida kubaini yupi real yupi wack

Na mind you usichojua kinachofanyika kwenye media za bongo ni dirty play

Nikikuuliza unafahamu nini kuhusu wakali wa media i'm pretty sure you have no clue what it means
 
Best rappers hata wasiposikika mainstream bado kwa wanaojua mziki wa Hip Hop hawawezi kupata shida kubaini yupi real yupi wack

Na mind you usichojua kinachofanyika kwenye media za bongo ni dirty play

Nikikuuliza unafahamu nini kuhusu wakali wa media i'm pretty sure you have no clue what it means
Embu wagusie kidogo hao wakali WA media

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Embu wagusie kidogo hao wakali WA media

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Wakali wa media ni wale wadau waliokuwa maarufu sana maredioni karibia kila kipindi wao wanapiga simu kutoa maoni

Ikafika hatua media zikawa zimesave number zao kabisa na kuwa treat kama ni sehemu ya wadau wakubwa wa redio

Kutokana na mchango wao media ilikuwa inawapigiwa promo biashara zao na hata siku ikitokea events studion walikuwa wana alikwa. Kama ushawahi msikia Daudi wa Kota, Chesko Matunda nk hao ni mfano tu ila walikuwa wengi

Hawa watu wa media waliambiwa wawe wana request nyimbo za msanii fulani ambaye huyu msanii ndio ana maslahi na media ili kuaminisha wasikilizaji kuwa msanii anakubalika na wadau
 
Huo ujinga wa kutoiheshimu misingi ya Hip Hop upo kwa ma-teenagers

Dizasta kutembelea media ndio kunaondoa aina yake ya mziki anao rap?

Kama amekuwa akitembelea media nawewe umehusisha swala hilo na ishu ya ku-seek fame kwanini pamoja na hilo bado hujamuona aki switch kutoka hardcore rap kwenda kwenye mumble rap kama kina Lunya?

Best rappers hata wasiposikika mainstream bado sio kitu cha ku undermine uwezo wao.

Kwa wanaojua mziki wa Hip Hop hawawezi kupata shida kubaini yupi real yupi wack

Na mind you usichojua kinachofanyika kwenye media za bongo ni dirty play

Nikikuuliza unafahamu nini kuhusu wakali wa media i'm pretty sure you have no clue what it means
Kichaka chako cha kujificha ni Lunya? The fact he visits medie to promote his hardcore raps as you call them he is fighting for his songs to go mainstream.
Sugu, Prof J, Afande Sele, Mwana FA none of them swapped into mumbling raps but they became big nonetheless, huyo Dizasta wako he has to work harder kwani kumtembelea media bila ya ku-deliver vitu bora hizo tours hazitampa positive results.
Open your eyes and see the reality, kujificha kwenye kichaka cha Lunya au 'misingi' hakuondoi ukweli kuwa mtu wako bado ana safari ndefu sana kufikia malengo na huo ujinga wa eti anaridhika na hapo alipo go and tell it to the birds.
 
Kuna vitu unashindwa kuviweka katika uwiano sawa

Hao kina Sugu, Afande Sele, Prof J nk ndio watu wa mwanzoni walioitambulisha Hip Hop kwetu, walikuwepo kwenye kipindi ambacho mziki ulikuwa una room ndogo sana.

Katika hicho kipindi kulikuwa hakuna evolution ya Rap, wote wali Rap mtindo mmoja na kutokana na industry yao kuwa ndogo ndipo walipopata fursa ya kusikika sana.

Modern rap ambayo ndio imekuja ku violet Hip Hop Culture imeanza miaka ya hivi karibuni ambayo saizi ndio inafahamika kama ni Hip Hop commercial.
 
Back
Top Bottom