Hirizi ni mzigo mzito sana

Hirizi ni mzigo mzito sana

Nimewaza ulivozivaa umtishe yule dada anaekula pesa za wanaume na mda ukifika anajifanya ana mashetani.
Yan mm nikiona mtu amevaa tu hyo kitu au zile wanvalishaga watoto sijui wanaita mvuje hata nguvu ya kumfurahia mwanao inakata. Hivi na huo mvuje sijui ni hirizi
 
Aisee!! Watu wameamua kumtegemea binadam zaid kuliko Mungu.
Ila zipo zenye faida maana kuna bibi alikuwa kijiji jiran na kijiji chao mzee yeye alikuwa anasaidia wadada/wanawake ambao wamepata ujauzito na hawana mpango wa kuzaa kwa mda huo alikuwa anafunga ujauzito usikue kwa kuwapa kitu kama kamba unavaa kiunoni ukivui kikivua tu inamaana umeruhusu ujauzito uendelee kukua.
 
Unajiuliza nini dhima ya hirizi maungoni? Unakuja kugundua mvaaji kapewa ili IMLINDE!
Imlinde na uchawi
Imlinde na wanga
Imlinde na chuma ulete
Imkinge na mambo yote mabaya
Impe mvuto
Impe ngekewa nknk

Unatafakari vile ilivyo.. Je ina uwezo wa kufanya yote haya? Ni kweli kabisa hirizi ni kubwa na ina nguvu kushinda roho yako?
Mbona sasa badala ya kukulinda wewe ndio unailinda?
Mbona sasa badala ya kukuficha usionekane na wabaya wewe ndio unaificha isionwe na wengine?

Mbona sasa inageuka mzigo mzito kwako kwa masharti?
Hakikisha haishiki maji(hata kama ina majasho yako)
Hakikisha huogi nayo
Hakikisha ukitaka kufanya mapenzi unaivua
Hakikisha huishiki mpaka ukoge
Hakikisha haigusani na msalaba nk nk

Mwisho wa siku badala ya yenyewe kukutumikia wewe ndio unaitumikia na kuijengea madhabahu bila kujua...!! Hata mapete ya bahati nayo ni aina mojawapo ya hirizi maana nayo yana masharti kama yote!
Kama unalo moja au kadha maungoni mwako tambua umebeba uchafu usio na maana yoyote na limekugeuza mtumwa bila ridhaa yako! LIVUE ULITUPILIE MBALI KULE
View attachment 1811887
Kuna wale wanaotuambiaga kuwa nyota yako ya bahati imefifia/imechukuliwa, kwa hiyo wao wanang'arisha nyota, unawazungumziaje hao......kwako studio
 
Uko sahihi kabisa na wala hakuna wa kukupinga kama haikusaidii wewe, huyu na yule unavaa ya nini?? angalia kwanza;Kamwe mtu huwezi kumeza chloroquine au kuchomwa sindano kama huumwi ugonjwa unao husiana na sindano hiyo !! na

kama umejaaliwa afya njema sindano za quinine hutakaa uzijue maisha yako yote!! utazisikia tu!! hivi unajua chanzo za Measles, Ndui, TB unazo Mwilini na zina kulinda weye leo mpaka kesho?? kwa nini hukuzikataa?? Astma hirizi yake Aminophylline tu!!! baas

hivi unajua magari yote yanatembea na hirizi chini ya tyre la akiba pale nyuma? kukulinda na Radi? ulisha wahi ona gari imepigwa Radi?? hii ni Physics ya form two!! je siyo hirizi hizo?? OK! hapo kwako Msata! nyumba yako ina Health wire ni ya nini kma siyo hirizi ile!!

Ward za hospital ni kwa ajili ya Mgonjwa ambae hawezi kutembea mwenyewe!! anakaa na kulala hapo ili atibiwe ( hirizi za kizungu anapewa) apone aende kujenga taifa lake!!! Mzima utakaa wardini?? Kwanza utaona pananuka! lkn mgonjwa hasikii harufu hiyo!

Mkuu Hirizi ndo yenyewe Kiafrica Zaidi. kama huna Maadui kwa nini uivae?? Haina maana, angeshona Mzungu aaah!! Poa. tatizo mweusi ndo anatumia!! angalia Daraja la Kirumi, kwenu huko, halikujengwa bila hirizi za SOGESCA,

Tunao vaa ni sisi wenye Nyota kali zinazowaka za maongozi ya nchi na Dunia kwa ujumla wake!!! Mabara yana tutegemea ili yaendelee halafu tunajijua tulivyo hatari ktk ulimwengu wa roho! na tunajua matumizi yake haswa!! km huna matumizi nayo ya nini?

Kuzimu inatukubali haswa!! Na kutuogopa tunajua!! angalia;; Biblia imetaja uchawi sana, mfano ni kule Misri, Musa alitumia fimbo kama Hirizi yake alitupa fimbo!! kuyachapa maji yakagawanyika wana wa israel wakavuka salama kwenda ng'ambo, hii ni hirizi pia.

Hospitali kuna hirizi nyingi tu bila zile hirizi huponi na kazi haiendi ila tu, mnazipa Majina tofauti, mfano Surgical Masks, Gloves, Aprons, Surgical bed nk lkn hamuyaoni hayo sababu ni ya weupe! bana kuba!! bin Mkoloni Master, dege la tani 200 linapaa siyo hirizi.

kwa mutu yeyote ambae hajasoma kabisaaa!! achilia mbali Medicine km ilivo! hawezi kuelewa somo la mtu kuvaa apron, au surgical gloves, hili anaona ni urembo tu! na mbwewe za Madaktari!! kujifanya fanya!!

Sasa ndo hivo hata kwenye Ulimwengu wa giza na Hirizi, kama mtu hajui yaliyomo ktk ulimwengu wa Giza hata kaa aelewe somo la hirizi Uganga uchawi, piga ua garagaza zitarushwa ngumi hatare nakwambia!!

Kuna wenzetu wengi kule Ukara, Ukerewe, Nyashimbank, walishindwa kuendelea na Masomo kabisaaa!! ajili ya kurudi kijijini kurithi Mikoba By then hatukuwaelewa!! But in other hand sisi wazee wetu waliojua haya,

tulifanya maridhiano maalumu kwanza, kwa sharti la kujifunza uchawi kwanza, then tukaombewa Rhuksa kwa mchawi Mkuu ili twende shule, na tuko huku lkn kila Desemba lazima tukavae kaniki Mwezi mzima turogeeee!! hafu mambo yanakuwa sawa! tunaenda zetu.

Nawajua vichaa wengi tu Dar walio kataa!! Uchawi wa Mizimu ya kwao!! wengine tunajuana, Lakini wasomi hatare!! KTK pitapita yako Dar wee!! waongeleshe kimombo wale machizi usikie habari yake!!! na Wako mpaka S/africa, Cameroon,Nigeria nk.

Dharau hirizi ya kwenu uwe kichaa uone!! wewe Mshana uko salama je wengine nao je!! wenye asili ya ulozi? sisi tulipewa Lecture mapemaaaa! na wazee hatudanganyiki! Africa hoyeeee!!
 
Kumiliki hirizi ni sawa na kumiliki bunduki,
Badala ya kukulinda, wewe ndio unailinda.
Linda nikulinde!! rahisi tu! Nyumba, kitanda, Bakuli la mboga, Mke , watoto gari lazima uvi heshimu uvitunze vikutunze pia, jaribu chezea, kutojali Mkeo uone km utapata papuchi!
 
Kuna kipindi nikiwa mdogo nilipewa Hirizi... Hirizi hiyo ilikuwa kama zawadi kwangu toka kwa mganga mmoja aliyekuwa aliyekuwa ni sheikh!!

Sikujua nini maana yake, aliniambia niivae niendapo...nilivaa siku ya kwaza na ya pili kisha ilipotea ki-ajabu ajabu - niitafuta sikuiona na ndiyo mwisho wa kuvaa hirizi ukawa umefikia - hadi leo hii na umri huu huwezi kunidanganya ati nijenga madhabahu mengine zaidi ya yale ya yule aliye shinda mauti.
 
Unajiuliza nini dhima ya hirizi maungoni? Unakuja kugundua mvaaji kapewa ili IMLINDE!
Imlinde na uchawi
Imlinde na wanga
Imlinde na chuma ulete
Imkinge na mambo yote mabaya
Impe mvuto
Impe ngekewa nknk

Unatafakari vile ilivyo.. Je ina uwezo wa kufanya yote haya? Ni kweli kabisa hirizi ni kubwa na ina nguvu kushinda roho yako?
Mbona sasa badala ya kukulinda wewe ndio unailinda?
Mbona sasa badala ya kukuficha usionekane na wabaya wewe ndio unaificha isionwe na wengine?

Mbona sasa inageuka mzigo mzito kwako kwa masharti?
Hakikisha haishiki maji(hata kama ina majasho yako)
Hakikisha huogi nayo
Hakikisha ukitaka kufanya mapenzi unaivua
Hakikisha huishiki mpaka ukoge
Hakikisha haigusani na msalaba nk nk

Mwisho wa siku badala ya yenyewe kukutumikia wewe ndio unaitumikia na kuijengea madhabahu bila kujua...!! Hata mapete ya bahati nayo ni aina mojawapo ya hirizi maana nayo yana masharti kama yote!
Kama unalo moja au kadha maungoni mwako tambua umebeba uchafu usio na maana yoyote na limekugeuza mtumwa bila ridhaa yako! LIVUE ULITUPILIE MBALI KULE
View attachment 1811887
Na wewe si ulishawatengeneza wahanga kadhaa ulipokuwa kwenye kiti cha enzi!?wawasaidiaje sasa mkuu?
 
Watu wanakata bima ya afya na maisha kwa ujumla we unadiss
 
Nimewaza ulivozivaa umtishe yule dada anaekula pesa za wanaume na mda ukifika anajifanya ana mashetani.
Yan mm nikiona mtu amevaa tu hyo kitu au zile wanvalishaga watoto sijui wanaita mvuje hata nguvu ya kumfurahia mwanao inakata. Hivi na huo mvuje sijui ni hirizi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom