Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Amini!!! amini!!! nakwambia akili kubwa na akili ndogo, havitangamani wakti nikiwa mdogo km wewe, Rais wa nchi akihutubia popote sikujua kitu, acha hao kanisani mie nilikuwaga naenda km kutalii tu,Mbwembwe nyingi halafu hakuna (kitu cha maana) ulichoandika!
siku wahi jua maana ya maneno waliyo kuwa wakisema wachungaji kabisaaa si utani kaka akili yangu ilikuwa changa mno, pamoja nakujitahidi sana kuwasikiliza lkn waapi!! lkn leo nimekomaaa Mwee!! mpaka naweza challenge Netanyau!!
Yawezekana uko kipande hiki!! wenye akili nyingi km mimi wametoa hoja wakajibiwa, ajabu wewe hujui kitu kweli?? umeona nyota!! lkn nikutie moyo usiwe na wasiwasi haya ni mapito tu ukikua utajua wakubwa wanayoongea!! utanikumbuka kwa hili......