Hirizi ni mzigo mzito sana

Hirizi ni mzigo mzito sana

Hivi msalaba na tasibihi za kuvaa shingoni kwa wakristu vipi?
 
Acha hizo wewe mlokole nitakuroga na yesu wako huyo mzungu asikusaidie mpaka ukome!! hvi unadhani Yesu wa kweli mchezo?? nimesha kuchunguza hapa, na jina lako halisi nalijua, naweza tuma kombora likja moja kwa moja hapo ulipo! na usifanye kitu..

unajipendekeza kwa yesu mzungu??? e bwanawee
Mkuu mi natamani unisimulie kidogo kuhusu Huyo "Yesu wa kweli", mmewahi kukutana au kutunishiana misuli?
 
Mkuu mi natamani unisimulie kidogo kuhusu Huyo "Yesu wa kweli", mmewahi kukutana au kutunishiana misuli?
Yule bana si wa mchezo mchezo kabisaaa!! usithubutu!! kumfanyia masihara yaani zaidi utapotea!!! na ni wachungaji wachache mno wanao mjua huyu!! walokole wengi ni wapigaji tu halafu hawajui Biblia vizuri!

waropokaji!!! ni wengi mno na ukimwambia ukweli hawezi kuwa na Guts za kubishana na wewe!! anakuwa mwoga mno!! kutaja tu jina lake ni mtihani, halafu hata Biblia hawaijui vizuri, Yesu wa kweli utampata kwenye kanisa la Sabato lililo karibu nawe nenda polepole utamjua!
 
Mkuu naona unabishana sana na huyu Mkuu..sasa nikiwa kama balozi wa Yesu Kristo Mwana wa MUNGU nakuomba na nakuhitaji utubu sasa kwa udhalilishaji huo kwa majira haya...
Mungu wangu hadhihakiwi!! na imeandikwa ''usimjaribu Bwana Mungu wako!!'' sisi hatugombani ila nimemwambia ukweli, ambao siyo ugomvi, lkn mungu wako huyo amekwambia ni ugomvi, achana nae ni muongo sana!! njoo kwa Mungu wangu ili upone!!
 
Unajiuliza nini dhima ya hirizi maungoni? Unakuja kugundua mvaaji kapewa ili IMLINDE!
Imlinde na uchawi
Imlinde na wanga...
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Babu mshana hapa umenifurahisha na kunichekesha pia yaani kaka katika vitu ambavyo sijawahi kuvielewa basi hiki ni kimojawapo.

Yaani binadamu sisi sijui hata unaanzaje kuamini kitu km hirizi. Ni afadhali hata wale wanaochanja kuliko KUVAA mahirizi. Halafu naskia Kuna mahirizi mengine huwaga yanapumua hii nayo imekaaje mzee baba?!
 
Nimewaza ulivozivaa umtishe yule dada anaekula pesa za wanaume na mda ukifika anajifanya ana mashetani.
Yan mm nikiona mtu amevaa tu hyo kitu au zile wanvalishaga watoto sijui wanaita mvuje hata nguvu ya kumfurahia mwanao inakata. Hivi na huo mvuje sijui ni hirizi
Ule mvuje Ni mtipori mmoja HV unaitwa MVUMBASI huku kwetu huwa wamama wenyewe wanauchuma wanachukua kitambaa cheusi wanaufunga halafu ndio wanamvisha mtoto.

Wenyew ni Kinga ya kumzuia mtoto asione wanga usiku na asishtukeshike (niliulizaga siku moja ndio wakanieleza hivyooo)
 
Uko sahihi kabisa na wala hakuna wa kukupinga kama haikusaidii wewe, huyu na yule unavaa ya nini?? angalia kwanza;Kamwe mtu huwezi kumeza chloroquine au kuchomwa sindano kama huumwi ugonjwa unao husiana na sindano hiyo...
We umevaa ngapi mkuu??ll
 
Back
Top Bottom