Kuna wale wanaotuambiaga kuwa nyota yako ya bahati imefifia/imechukuliwa, kwa hiyo wao wanang'arisha nyota, unawazungumziaje hao......kwako studioUnajiuliza nini dhima ya hirizi maungoni? Unakuja kugundua mvaaji kapewa ili IMLINDE!
Imlinde na uchawi
Imlinde na wanga
Imlinde na chuma ulete
Imkinge na mambo yote mabaya
Impe mvuto
Impe ngekewa nknk
Unatafakari vile ilivyo.. Je ina uwezo wa kufanya yote haya? Ni kweli kabisa hirizi ni kubwa na ina nguvu kushinda roho yako?
Mbona sasa badala ya kukulinda wewe ndio unailinda?
Mbona sasa badala ya kukuficha usionekane na wabaya wewe ndio unaificha isionwe na wengine?
Mbona sasa inageuka mzigo mzito kwako kwa masharti?
Hakikisha haishiki maji(hata kama ina majasho yako)
Hakikisha huogi nayo
Hakikisha ukitaka kufanya mapenzi unaivua
Hakikisha huishiki mpaka ukoge
Hakikisha haigusani na msalaba nk nk
Mwisho wa siku badala ya yenyewe kukutumikia wewe ndio unaitumikia na kuijengea madhabahu bila kujua...!! Hata mapete ya bahati nayo ni aina mojawapo ya hirizi maana nayo yana masharti kama yote!
Kama unalo moja au kadha maungoni mwako tambua umebeba uchafu usio na maana yoyote na limekugeuza mtumwa bila ridhaa yako! LIVUE ULITUPILIE MBALI KULE
View attachment 1811887
Duh huyu msanii mpiga picha alikuwa mtaalam kwelikweli
Linda nikulinde!! rahisi tu! Nyumba, kitanda, Bakuli la mboga, Mke , watoto gari lazima uvi heshimu uvitunze vikutunze pia, jaribu chezea, kutojali Mkeo uone km utapata papuchi!Kumiliki hirizi ni sawa na kumiliki bunduki,
Badala ya kukulinda, wewe ndio unailinda.
Na wewe si ulishawatengeneza wahanga kadhaa ulipokuwa kwenye kiti cha enzi!?wawasaidiaje sasa mkuu?Unajiuliza nini dhima ya hirizi maungoni? Unakuja kugundua mvaaji kapewa ili IMLINDE!
Imlinde na uchawi
Imlinde na wanga
Imlinde na chuma ulete
Imkinge na mambo yote mabaya
Impe mvuto
Impe ngekewa nknk
Unatafakari vile ilivyo.. Je ina uwezo wa kufanya yote haya? Ni kweli kabisa hirizi ni kubwa na ina nguvu kushinda roho yako?
Mbona sasa badala ya kukulinda wewe ndio unailinda?
Mbona sasa badala ya kukuficha usionekane na wabaya wewe ndio unaificha isionwe na wengine?
Mbona sasa inageuka mzigo mzito kwako kwa masharti?
Hakikisha haishiki maji(hata kama ina majasho yako)
Hakikisha huogi nayo
Hakikisha ukitaka kufanya mapenzi unaivua
Hakikisha huishiki mpaka ukoge
Hakikisha haigusani na msalaba nk nk
Mwisho wa siku badala ya yenyewe kukutumikia wewe ndio unaitumikia na kuijengea madhabahu bila kujua...!! Hata mapete ya bahati nayo ni aina mojawapo ya hirizi maana nayo yana masharti kama yote!
Kama unalo moja au kadha maungoni mwako tambua umebeba uchafu usio na maana yoyote na limekugeuza mtumwa bila ridhaa yako! LIVUE ULITUPILIE MBALI KULE
View attachment 1811887
Sikumbuki kama niliwahi kubebeshwa huo mzigo na wala sidhani kama siku moja nitakuja kuubeba kwa ridhaa yangu mwenyewe, ingawaje wakati mmoja nilishawahi kuchanjwa kwa wembe nikiaminishwa kuwa ni kinga dhidi ya Wachawi/wanga.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Nimewaza ulivozivaa umtishe yule dada anaekula pesa za wanaume na mda ukifika anajifanya ana mashetani.
Yan mm nikiona mtu amevaa tu hyo kitu au zile wanvalishaga watoto sijui wanaita mvuje hata nguvu ya kumfurahia mwanao inakata. Hivi na huo mvuje sijui ni hirizi
Una kesi ya kujibu wewe.Nimecheka hiyo ya Chege😂😂😂jamaa ana booster ya kitaalamu
Changa la macho! Atakupa midawa kibao lakini kuna moja tu unga uliochanganywa na chumvi ya mabonge ndio tibaKuna wale wanaotuambiaga kuwa nyota yako ya bahati imefifia/imechukuliwa, kwa hiyo wao wanang'arisha nyota, unawazungumziaje hao......kwako studio
Hivi kwa nini chumvi ya mabonge?Changa la macho! Atakupa midawa kibao lakini kuna moja tu unga uliochanganywa na chumvi ya mabonge ndio tiba