Hisa za Vodacom Tanzania, imegeuka kuwa kitendawili kwa Tanzania

So Kila Mwekezaji atanunua Hisa katika IPO tuu?

Hata Hivyo Still Pesa Ndogo Yaani Uliwekeza 3, 200,000 Mwaka 2008 hadi Kuna Miaka 9 Mimi Mtu wa Biashara najali sana Time katika Project yeyote Mimi na discourage Biashara ya Hisa kwa wenye Mitaji ya Kuanzia Million 1-50 fanyeni Mambo mengine Vipi kama Mwaka 2008 ungekua

Umeamua Kuwa Nina Tsh.3, 200,000 ngoja Nitafute wakina Mama 32 niwakopeshe Tsh. 100,000 waaminifu niwakopeshe Kwa Riba ya 20%

watakua wanalipa kwa Wiki 8.
Kwa hiyo Itakua 100,000 × 20% = Tsh 20,000 kwa miezi 2 au wiki Nane inamaana kwa kwa Mwaka itakua 72,000 kwa Mmoja sasa

72,000 × 32 = Tsh. 2,304,000 Kwa Mwaka

Chukua 2,304,000×miaka 9 = 20,736,000-3,200,000

Unapata 18,536,000 kwa miaka 9 wakati

Hisa Umewekeza kwa Miaka 9 umepata Revenue ya 11,000,000-3,200,000 = Profit 7,800,000
 
Timing muhimu sio kujinunulia tu...

Bei za hisa kushuka zinaakisi imani hasi ya wananchi kwenye uchumi

Kwa wengine huu ni muda muafaka kununua hisa wakati bei zikiwa chini.

Kumbuka tabia ya uchumi ni kupanda na kushuka haugandi sehemu moja milele.

Wako wanaonunua hisa kwa ajili ya gawio, biashara hasa kuuza bei inapopanda, akiba ya uzeeni, sifa ya umiliki wa kampuni na hata kutumia kama dhamana ya mkopo. Tafakari wewe upo wapi

Vilevile kumbuka hisa ni risk kama zilivyo biashara nyingine. Tofauti yake ni kama mdau mmoja alivyotueleza kuwa ni passive investment unaweka na kusubiri uvune.

Active investment kuna jitihada lazima ufanye ili ufaidike mfano mdogo kilimo utapanda, palilia, weka madawa, vuna, tafuta soko. Usipotaka sumbuka ulipe mshahara/vibarua wakutumikie

Tuendelee kuelimishana
 
Ukichaa huuu na wasipokulipa unafanyeje acheni kuombea mwembe utoe mananasi
 
Ukichaa huuu na wasipokulipa unafanyeje acheni kuombea mwembe utoe mananasi
Mipasho ya Kizaramo kwenye Biashara haina Nafasi Kwenye Finance

Kuna issue Tunasema "The Higher the Risk the higher the return



hii ipo katika In real Life Mtu anayefanya betting angalia Mfano

Real Madrid vs Southampton
Barcelona Vs Granada
Bayern Munich Vs Freiburg

Ukisema

Southampton Win
Granada Win
Freiburg Win Utapata Pesa Nyingi Sana Ukilinganisha na Ukisema Bayern, Madrid, na Barcelona zinashinda kwa Kifupi Utapata Pesa Kidogo Sana.

Sasa Invest katika Low Risk au Risk free return zake si Kubwa.
 
Hahahha mkuu unachanganya mambo hapa.
huoni kama associated risks ni tofauti hapa?usiwe na mawazo ya kuwekeza kwenye low risks investment kwa mategemeo ya faida za high risks investments.

IPO ndio opportunity murua kwa kununua hisa sababu data zinaonyesha kwa kiasi kikubwa price ya share inapanda ikishenda sokoni.
 

Watu huwa wanasema ukitaka kufanikiwa katika soko la hisa inabidi:
- Uamue iwapo unataka kuwekeza kwa muda mfupi au kwa muda mrefu.
Kwa muda mfupi ina maana wewe unajali zaidi kupata value ya hisa inapopanda na huitaji sana kusubiri gawio la kila mwaka(kama litakuwepo)

- Ujue namna ya ku-control hisia zako za 'fear' and 'greed'
Mfano mzuri ni wa huyu jamaa aliyenunua hisa za CRDB kwa 295/- halafu akaziuza kwa 400/- kila moja. Alitambua 'peak' ya soko hilo ni ipi, na akajua ni wakati gani wa kuziuza.
Knowing where the industry is heading na timing(when to sell) is everything!
Wakati huohuo kuna ma-investor kama Warren Buffett ambao walinunua hisa kwa bei chee miaka ya 50s wakazikalia, sasa hivi zina thamani ya million dollars.
Ila kwa soko la hisa za Tz kuna utata mwingi ambao unaweza kumfanya mtu asite kuzishikilia kwa muda mrefu!
 
Mkuu kwenye kuuza inakuwaje? Je ukitaka kuuza unauza hapo hapo au kuna longo za madalali na kusubiri wateja?
 
Mkuu katika Uzoefu Wangu wa Soko La Hisa Makampuni ya Ndani Si ya Kuyaamini Ni Bora ujikakamue Kumiliki Hisa Kama za Accassia , Jubilee Holdings Ltd nimesoma Tabia zake zimeporomoka sana.
 
Mkuu kwenye kuuza inakuwaje? Je ukitaka kuuza unauza hapo hapo au kuna longo za madalali na kusubiri wateja?
Lazima Usiliane na Dalali aisee (Brokers) hawa ni Watu wenye Elimu na Uelewa wa Biashara ya Hisa na Lazima Uwe na Mtaji wa Kiasi Fulani ili uwe trusted na awe anatoka kwenye Kampuni ya Udalali Yaani Hakuna Longolongo kwenye Kuziuza.
 
Hujanielewa mkuu,hufanyi kitu unakaa tu baada ya kuamua kuwekeza,unafanya research kabla ya kuwekeza then kampuni inakufanyia kila kitu unasubiria gawio lako tu mwisho wa mwaka.
Ni kweli kampuni inakufanyia kila kitu hata kutengeneza mahesabu ambayo ndiyo yataamua upate gawio kiasi gani wanafanya wao?
Wakati wanataka kuissue share sokoni wanakufanyia kitu kinaitwa window dressing hii ni kufanya uone kampuni inamtaji mkubwa na ipo vizuri financially ila kipindi cha gawio wanajidai kampuni haijafanya vizuri profitably
 
Ukweli ni kwamba hata watu wengi wanaonunua hisa kwa kiasi kikubwa cha hela ujue mostly ni hela za dili. Imagine mtu anabiashara kwa mfano ya vituo vya mafuta do you guess anaweza kununua share za voda au ataongeza vituo zingine vya mafuta? Labda awe na excess cash aone nashindwa kuzimanage na siyo kwamba eti anataka faida kupitia dividends
 
Mkuu kwenye kuuza inakuwaje? Je ukitaka kuuza unauza hapo hapo au kuna longo za madalali na kusubiri wateja?

Kwenye kununua (stage ya IPO) inabidi kuwatumia stock brokers au mawakala(utawapata kwenye prospectus).Katika stage hii huwalipi fees.

Unapouza unawatumia stock brokers. Wao wana-bid kwenye soko kwa bei uliyowaagiza soku hiyo1. Wanaweza kuzipata kwa bei hiyo au la.Ni vizuri ukiwapa range ya bei ambayo ungependelea.Kwa kawaida fee yao ni 2.06%.
 
Kila kitu wanakufanyia mpaka kukuwekea hela bank kama watagawa.

Mmmh kwahyo kunakua na mahesabu mawili?moja kwa ajili ya wanahisa wa nje na nyingine kwa ajili ya wale originals?
 
Mkuu fafanua Kidogo.
Tatizo mkuu unapokosea ni pale unapokazania kulilaumu soko baada ya kujilaumu wewe mwenyewe kutojua timing za soko la hisa... Wewe unalalamika unapata hasara wakati huohuo kwa hisa hizohizo wenzako wanapata faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…