Hii ndio point kubwa sana ambayo umeongeaMkuu katika Uzoefu Wangu wa Soko La Hisa Makampuni ya Ndani Si ya Kuyaamini Ni Bora ujikakamue Kumiliki Hisa Kama za Accassia , Jubilee Holdings Ltd nimesoma Tabia zake zimeporomoka sana.
Fixed deposit unafungua account unayoruhusiwa kuweka fedha tu (huwezi kutoa) mpaka muda fulani na unakuwa unapata interest kwa mwaka inategemea na bank na kiasi ulichoweka bank nyingi zinaanzia 3% na kuendelea .Fixed deposit huwa zinaanzia miezi 12 na kuendelea NBC,Equity,Exim ni baadhi ya bank ninazofahamu zenye fixed depositJamani nashukuruni sana kwa hii thread aisee nimejifunza mengi sana kuhusu hisa nilikua sijui kitu lakini nimepata mwanga ila kuna swala nataka mnisaidie kuhusu fixed deposit account ipoje na je interest yake au faida ipoje per month au per year na risks zake.NATUMAINI KUPATA MAWAZO YENU APA
3% ni kwa mwaka?Fixed deposit unafungua account unayoruhusiwa kuweka fedha tu (huwezi kutoa) mpaka muda fulani na unakuwa unapata interest kwa mwaka inategemea na bank na kiasi ulichoweka bank nyingi zinaanzia 3% na kuendelea .Fixed deposit huwa zinaanzia miezi 12 na kuendelea NBC,Equity,Exim ni baadhi ya bank ninazofahamu zenye fixed deposit
Rate ni kwa mwaka, ila 3% percent ni ndogo sana sidhani kama kuna benki inatoa kiasi kidogo hivyo kwa sasa hivi.3% ni kwa mwaka?
Unajua Hisa za Swala zina traded kwa Tsh 500/share?Mkuu sina hakika kama ni mfatiliaji sana, IPO ya swala ndani ya miez miwili bei ilishoot toka 500 hadi 2000, yan mara nne kwahyo mjanja kama aliweka milion 1 tu ndan ya miez miwili alipiga milion 4.. Ipo ya DSE ndani ya kipind kichache bei ilidouble, nashindwa kuelewa faida chache kivipi.. Ndomana nawaambia msichukie soko wala msilaumu soko, jifunzeni tu timing, kwenye soko la hisa pesa zipo nying tu
Tatizo viongozi wetu ni unpredictable,unaweza ukanunua hisa kesho yake Bashite anatangaza kaamua Vodacom itaifishwe,
ibaki TTCL,
Sidhani kama unanielewa braza mkuu, nafahamu kama inatrade 500... Nachosema ni kwamba kuna wajinga wanaopata hasara na wajanja wanaopata faida... Hisa hizohizo za swala kuna waliopata faida kubwa sana na wapo waliokula hasara kubwa sana. Ushauri wangu ni kwamba watu wajitahidi wawe wajanja wanaopata faida, wasilalamikie soko.Unajua Hisa za Swala zina traded kwa Tsh 500/share?
Thanks kwa Serikali iliyotoa utaratibu wa hisa Mkuu Vodacom hata nikiangalia taarifa zake za Fedha ipo katika hali mbaya nimeona 2016 ilitengeneza Profit ya Tsh. 29,000,000,000 wanapiga Faida ndogo sana. Iko levered na Debts sana nikianza Ku forecast mwenendo wa Vodacom itakua na hali ngumu baadaye. TTCL watamaliza Kuuza Hisa zao Serikali hapo hapo inaweza Kusema Taasis zote za Serikali zitumie TTCLMkuu hata kwenye hiyo business ya kuwakopesha kinamama kuna risk kibao pia,biashara ya hisa inahitaji timing kali ,na kabla hujanunua unapaswa kufanya analysis ya kina kwenye kampuni unayonunua hisa na angalia pia mabadiliko ya viongozi wa kisiasa wana influence kubwa sana kwenye soko la hisa
Afadhali kaka arguments zako zinamake sense kabisa tunaweza tukaelewana.. Vingi ulivyopoint out ni vya kweli kabisa.Watu wanaosema 850 ni kubwa ni kufananisha na makampuni mengine ya simu Africa/nchi zinazoendelea, sio kwamba wameona tu 850 ni kubwa unavyofikiri.
Vodacom IPO share price highly valued: experts
Kwa kuangalia dividends wanayotarajia kutoa Voda kwa share ni 20-50 shillings hii ni 2%-6% ya 850!
Kwenye fixed deposit benki unaweza kupata 8%-10+% tena kwenye fixed deposit hakuna risk ya mtaji wako kupotea unless benki ifilisike value ya shares inaweza kushuka siku yoyote, kwa hiyo dividend investing haimake sense kwa soko la Tanzania, inamake sense nchi kama marekani ambapo fixed deposit unapata kama 1% returns.
So tumebakia na capital gains, hapa swali ni je growth ya Vodacom itatoka wapi? Teyari ni namba moja TZ na market share yao inashrink kila siku, Tigo wako only 2% nyuma yao, Halotel anakamata share na yeye, so tujiulize growth ya Voda itatoka wapi?
Kama hii IPO iko undersubscribed namna hii, kuna habari za kuaminika kuwa wameuza maybe 1/3-1/2 ya shares zao maana yake hakuna demand na share zitashuka bei zikiwa listed kwa style hii.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] mkuu ngoja niende bank kbs nijue wanafanya rate ya ngapiRate ni kwa mwaka, ila 3% percent ni ndogo sana sidhani kama kuna benki inatoa kiasi kidogo hivyo kwa sasa hivi.
Kuna wakati mwaka jana Access Bank walikua wanatoa 15% ukiweka 5 million hadi 19% kama una 100s millions, kwa bahati mbaya benki zetu haziweki wazi riba kirahisi mpaka ukaongee nao.
Hahahaha, I liked your point brother... Actually ndomana Buffet marekan huwa anasema kwamba yeye analipa kodi kidogo kushinda secretary wake. Watu huwa hawamwelewi ila infact huwa anazungumzia in percentage wise kwamba yeye analipa kodi asilimia chache ya kipato chake kulinganisha na asilimia anayolipa sekretari wake ila ukija in absolute terms yeye ndo analipa hela nyingi.I would like to differ with u.Hata kama mtaji wako ni mkubwa haitafaa with that mindset ya getting rich quickly. Mfano
Nimenunua hisa za kampuni A 1000 kwa bei ya Tzs 1,000,000 na wewe umenunua hisa hizo hizo 100,000 kwa bei ya Tzs 100,000,000 bahati nzuri kampuni ikatangaza gawio la Tzs 200 kwa kila hisa.
Mimi nitapata gawio langu la Tzs 200,000 na wewe utapata Tzs 20,000,000. Si unaona wewe umepata nyingi na mimi kidogo?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hapo umepata nyingi sababu umewekeza pesa nyingi kunizidi.
Ila rate ya profit ni ile ile tu cheki
Mimi
200,000/1,000,000 * 100% = 20%
Wewe
20,000,000/100,000,000 * 100% = 20%
Kwahiyo gain ni ile ile tu whether uwe umewekeza pesa ndefu au fupi.
Kama mdau alivyosema hapo juu watu wanunua hisa kwa sababu mbali mbali ikiwemo ya prestige ya kua mmiliki wa kampuni fulani aende kwenye AGM kufanya maamuzi n.k. kama lengo lako ni hisa zikutajirishe achana nazo nenda kafanye biashara nyingine zenye high risk na high returns( ceteris paribus).
Afadhali kaka arguments zako zinamake sense kabisa tunaweza tukaelewana.. Vingi ulivyopoint out ni vya kweli kabisa.
Ila upande mwingine soko letu pia linaenda kwa mihemuko ukiachilia mbali analysis mihemuko ya watu pia ina nafasi yake, kama ukifanya analysis ya kampun ya swala ilipokuwa IPO it was not promising at all, lakini kufatia mihemuko ilivyoanza kutrade bei ilipanda toka 500 hadi 2000. Hlf ikaanza kuporomoka tena ghafla. So apart from analysis pia unaweza kumake money kwa kuangalia mihemuko ikoje kwa wakati huo. Swala haikuwa promising but people tripled their investments in just few months.
A share may be overpriced and still people can make money out of it, hata kama wakati wanainvest walinunua zikiwa overpriced, its all part of the game.
Mbona mimi nataka kuuza hisa zangu naambiwa itachukua wiki mbili au tatu kupewa ela yangu?? Hii imekaaje mkuu??Lazima Usiliane na Dalali aisee (Brokers) hawa ni Watu wenye Elimu na Uelewa wa Biashara ya Hisa na Lazima Uwe na Mtaji wa Kiasi Fulani ili uwe trusted na awe anatoka kwenye Kampuni ya Udalali Yaani Hakuna Longolongo kwenye Kuziuza.
Mkuu nikitaka kuuza wanalipa ndani ya muda gani??Kwenye kununua (stage ya IPO) inabidi kuwatumia stock brokers au mawakala(utawapata kwenye prospectus).Katika stage hii huwalipi fees.
Unapouza unawatumia stock brokers. Wao wana-bid kwenye soko kwa bei uliyowaagiza soku hiyo1. Wanaweza kuzipata kwa bei hiyo au la.Ni vizuri ukiwapa range ya bei ambayo ungependelea.Kwa kawaida fee yao ni 2.06%.
Mkuu ukikamilisha Process kwa Dalali wa hisa haina usumbufu unachukua chako.Mkuu nikitaka kuuza wanalipa ndani ya muda gani??