Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TCL smart android 43 nilinunua 850k 2021 hii kitu kwenye muonekano baba laoMbona TCL na Hisense hawajapishana sana, inchi 43 kwa 750, kwa 680? Au huko dar bei zikoje?
TCL ana inchi 55? Wanauzaje?
Tanzania nchi la nyumbu hiliThread Imechangamka Sana Na Watu Wanavutwa Kwenye Kona Sasa. Najua Atalia Mtu Chap
TCL ubora upoje best?Yenu ina mambo mengi? Hizo namba za nini? View attachment 2871512
Nilianzia maisha hisense, ndio nikahamia TCL. Naona TCL yuko juuTCL ubora upoje best?
Mimi nilichukua kwa 750.. 2023TCL smart android 43 nilinunua 850k 2021 hii kitu kwenye muonekano baba laoView attachment 2872133
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii imeendaNilianzia maisha hisense, ndio nikahamia TCL. Naona TCL yuko juu
So difference ya 60k kapigwa..bongo bhanaUmepigwa...hisence zimeshuka sana saivi ata 580k unapata
Analinganisha bei za Kariakoo ya Dar na mikoani. Watu wana maringo sanaSo difference ya 60k kapigwa..bongo bhana
LG ndio mafiaSalamu.Nimezipenda hizi Tv za mimi kipato Cha kati,Remote za Tv ya Hisence zipo makini sana.
Sauti ya Tv zao ni kubwa na audio jack nzuri sana.View attachment 2870910
OFFER ya Hisense TV1.8m
Njoo na ofa yako
We jamaa HIZI Bei zako duh umetishaDm mkuu
1.3. Smart 4k uhd
Bei kubwa sana nadhani kulingana na location tuHii bei uko mkoa gani Mkuu
ChinaHisense ni product ya nchi Gani?
KumbeChina