Mfilisiti
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 396
- 1,958
Kidogo niseme remote yangu imefikaje huku??Yenu ina mambo mengi? Hizo namba za nini? View attachment 2871512
TCL Unyama mwingi 🔥 🔥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kidogo niseme remote yangu imefikaje huku??Yenu ina mambo mengi? Hizo namba za nini? View attachment 2871512
Wabongo tuna ujuaji wa ajabu sana. Unasemaje kapigwa wakati hujui hata kachukua model ipi na kaichukulia wapi? Kuna LED, LED SMART, UHD SMART 4K, ULED nk. Hiyo bei yako ni ya model ipi kwa 43'Umepigwa...hisence zimeshuka sana saivi ata 580k unapata
Inch 43 sh ngapi!!?Msipate tabu kampunibya solarmax new brand TV 32 lak250 imenyooka
Nyingine zinatengenezwa south Africa under licenseKumbe
So tv nyingi kwa sasa zinatoka China?
Ipo mkuu 450k tu brand newInch 43 sh ngapi!!?
Namba unazipa tv station from your kingamuzi, mfano ITV No 1, kwahiyo ukibonya No 1 unapata ITV.Yenu ina mambo mengi? Hizo namba za nini? View attachment 2871512
Hii remote ! hiyo hisense ni ya kimchongo[emoji1787]Yenu ina mambo mengi? Hizo namba za nini? View attachment 2871512
ha haaaaaaaaaaaaaaaHii remote ! hiyo hisense ni ya kimchongo[emoji1787]
Hiyo ni TCLHii remote ! hiyo hisense ni ya kimchongo[emoji1787]
Yangu ina miaka miwili ila juzi imezima tu ghafla ni nzuri ila ziba shida kidogo, yani haionyeshi na warrant imeshaisha najiuliza ni fake ama ni chanfamoto za kielectronic tuSalamu.Nimezipenda hizi Tv za mimi kipato Cha kati,Remote za Tv ya Hisence zipo makini sana.
Sauti ya Tv zao ni kubwa na audio jack nzuri sana.View attachment 2870910
OFFER ya Hisense TV
Mzigo Mpya [emoji91][emoji91][emoji91] wahi mapema .. kabla bei hazijapanda zaid [emoji91][emoji91][emoji91]
Hisense TV
[emoji419][emoji419]Hisense TV bei [emoji91][emoji91]
[emoji3512]32” kawaida 350,000/=
[emoji3512]32” smart 390,000/=
[emoji3512]40” kawaida 520,000/=
[emoji3512]40” Smart 590,000/=
[emoji3512]43” kawaida 590,000/=
[emoji3512]43” Smart Tv tsh 630,000/=
[emoji3512]43” UHD Smart 4K Tsh 680,000/=
[emoji3512]50” UHD smart 4K Tsh 880,000/=
[emoji3512]55” UHD smart 4k 1,050,000/=
[emoji3512]58” UHD Smart 4k tsh 1,100,000/=
[emoji3512]65” UHD smart 4k tsh 1,530,000/=
[emoji3512]70” UHD smart 4k Tsh 1,900,000/=
[emoji3512]75” UHD smart 4k Tsh 2,350,000/=
[emoji3512]85” UHD smar 4k tsh 3,450,000/=
[emoji3512]98” U7H Tsh 9,000,000/=
[emoji3512]100” Laser TV HE 10025 Tsh 10,200,000/=
HISENSE SOUND BARS ….
[emoji319]HS 205 watts 60 Bei 260,000
[emoji319]HS 212 Watts 120 Bei 400,000
[emoji319]HS 218 Watts 200 Bei 420,000
[emoji319]HS 2100 Watts 240 Bei 440,000
[emoji319]AX2107G Watts 300 Bei 580,000
[emoji319]HS 219 Watts 320 Bei 620,000
[emoji319]AX3100G Watts 280 Bei 560,000
[emoji319]AX5100G Watts 340 Bei 650,000
[emoji319]U5120G Watts 510 Bei 1,000,000
[emoji319]U5120GW+ Watts 570 Bei 1,400,000
Warranty 3yrs
Offer hii inaambatana na ;
[emoji625]Stand ya ukutani bure[emoji736]
[emoji625]HDMI bure[emoji736]
[emoji625]Free home delivery kwa wakazi wa Dsm [emoji736]
[emoji625]Mikoani tunatuma[emoji736]
[emoji625]Tupo Kariakoo mtaa wa ndanda na magila
#electronicskariakoo
#hisensetanzania
#hisensetv
#hisensesoundbar
#hisense
#olijin electronics
Call/WhatsApp 0713491349View attachment 2872769
Analinganisha bei za Kariakoo ya Dar na mikoani. Watu wana maringo sana
Hisense 43' zinatofauti, kuna zenye 4K nyingine hazina, kuna zenye Bluetooth nyingine hazina, kuna za [emoji1221] South Africa [emoji1221] nyingine za China [emoji630] [emoji3] [emoji1]So difference ya 60k kapigwa..bongo bhana
Ebu tuione ni frameless auMimi nilichukua kwa 750.. 2023
Yah ana muonekano poa kuzidi hisense.
TCL NA HISENSE ipi ni kali au nzuri zaidi ?!TCL ntachukua siku moja afu hii niwape Kijijini,one time maokoto yabalance mkao
View attachment 2870950
Hizi Buttons inabidi waweke ALPHABETED pia, kwa urahisi wa type.