Hisence Tv zao Zina Remote na Speaker nzuri

Salamu.Nimezipenda hizi Tv za mimi kipato Cha kati,Remote za Tv ya Hisence zipo makini sana.
Sauti ya Tv zao ni kubwa na audio jack nzuri sana.View attachment 2870910
Yangu ina miaka miwili ila juzi imezima tu ghafla ni nzuri ila ziba shida kidogo, yani haionyeshi na warrant imeshaisha najiuliza ni fake ama ni chanfamoto za kielectronic tu
 

Hivi kwanini hizi tv zenu za hisense zinakufa sana hamsemagi ukweli, tena yangu ilikua ni ya south africa
 
Analinganisha bei za Kariakoo ya Dar na mikoani. Watu wana maringo sana
So difference ya 60k kapigwa..bongo bhana
Hisense 43' zinatofauti, kuna zenye 4K nyingine hazina, kuna zenye Bluetooth nyingine hazina, kuna za [emoji1221] South Africa [emoji1221] nyingine za China [emoji630] [emoji3] [emoji1]
Nyingine zina Vidaa OS nyingine Android OS

Kuna A6 nyingine A4


So utofauti wa bei unategemea vitu vingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…