Habari wana JF
Binafsi sina shaka na Uwezo wa Rais Samia katika kuongoza taifa. Tatizo liko wananchi na viongozi wa chini ambao ni washauri.
1. WANANCHI hawa hisia imetawala akili hivyo kuna baadhi hawataki kabisa kuona au kusikia mama Samia anafanikiwa na wengine wanapenda tu kusikia mabaya ya awamu zilizopita hususani ya Tano.
Kwa kifupi ni kwamba kuna mtu anaweza asifanye au kuchangia jambo la maana Kisa tu sifa zitapelekwa awamu ya Tano.
2.VIONGOZI, viongozi tumbo limetawala akili, wanawaza namna ya kupiga na kubaki madarakani tu. Wameshamsoma mama na wamejua anahitaji na kupenda nini .
Hapa mama inabidi kuwa makini Nchi yetu inahitaji maendeleo, Viongozi wa wako bize kuonesha ni sehemu gani ambapo awamu iliyopita ilikosea kuliko kutoa mawazo ya kutupeleka mbele .
Kwa kifupi viongozi hawa wanafanya kwa manufaa yao binafsi na washajua wananchi wanaongozwa na hisia.
Ni hatari sana kutawaliwa na hisia maana kila kitu utakachoambiwa na unapenda kusikia utaamini.
Turudishe utamaduni wa kuwa Thinkers kwa manufaa ya Taifa.
Mama ni muelewa sana akipata support ya kueleweka tutafika mbali.