Hisia na tumbo vinapoitawala akili ni hatari sana kwa Taifa

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Habari wana JF

Binafsi sina shaka na Uwezo wa Rais Samia katika kuongoza taifa. Tatizo liko wananchi na viongozi wa chini ambao ni washauri.

1. WANANCHI hawa hisia imetawala akili hivyo kuna baadhi hawataki kabisa kuona au kusikia mama Samia anafanikiwa na wengine wanapenda tu kusikia mabaya ya awamu zilizopita hususani ya Tano.

Kwa kifupi ni kwamba kuna mtu anaweza asifanye au kuchangia jambo la maana Kisa tu sifa zitapelekwa awamu ya Tano.

2.VIONGOZI, viongozi tumbo limetawala akili, wanawaza namna ya kupiga na kubaki madarakani tu. Wameshamsoma mama na wamejua anahitaji na kupenda nini .

Hapa mama inabidi kuwa makini Nchi yetu inahitaji maendeleo, Viongozi wa wako bize kuonesha ni sehemu gani ambapo awamu iliyopita ilikosea kuliko kutoa mawazo ya kutupeleka mbele .

Kwa kifupi viongozi hawa wanafanya kwa manufaa yao binafsi na washajua wananchi wanaongozwa na hisia.

Ni hatari sana kutawaliwa na hisia maana kila kitu utakachoambiwa na unapenda kusikia utaamini.

Turudishe utamaduni wa kuwa Thinkers kwa manufaa ya Taifa.

Mama ni muelewa sana akipata support ya kueleweka tutafika mbali.​
 
Unataka kujua matatizo 'serious' ya nchi yetu, bila unafiki?? Yako mawili tu.

1. CCM - hili ni tatizo kuu tena la kwanza.
Hivi unakumbuka kauli za hayati Magufuli alipodai "Wapinzani wametuchulewesha kwenye maendeleo..." na "Nipeni mafiga matatu..." (Yaani yeye awe Rais, Mbunge na Diwani pia wawe wa CCM)?
Sote tunajua alichofanya kwa kuiba na kuharibu chaguzi za 2019 na 2020 ili kupata hayo "mafiga yake matatu".

Hivyo leo kwa "legacy " hiyo ya Magufuli tuna Rais, Wabunge na Madiwani na Wenyeviti wa Mitaa/Vijiji wa CCM zaidi ya 99% nchi nzima.

Lakini bado mnalalamika maana matokeo ni yale yale. Baadhi yenu hujariribu kufukia madhaifu husika kwa kuwalisha wananchi propganda, rushwa nk nk. Tujiulize:

a. Je kuna maendeleo gani nchini?

b. Je hali za vipato na uchumi kwa watu wa kawaida vimeboreka?

c. Vipi suala la ajira mpya ' hasa kwa vijana?

d. 'Maisha bora kwa kila Mtanzania' yamepatikana?

e. 'Fursa sawa kwa wote" imetimia?

f. "Tanzania ya Viwanda' na 'Ajira mamilioni' vimepatikana?

g. Vipi ufisadi na rushwa vimepungua?

h. Umaskini, ujinga, maradhi bado ni maadui wa Taifa letu, kama ilivyokuwa mwaka 1962.
= TOTAL FAILURE!

Haikanushiki popote kwamba CCM ndio tatizo mtambuka hapo.
Mwl Nyerere na Mzee Mwinyi kwa pamoja walikuwa na serikali na mabunge ambayo 100% ni CCM, lakini hali na matokeo ni the same. Kwa nini hamlioni hilo? Liko wazi mno. CCM ndio tatizo kuu #1 TZ!

2. Katiba mbovu ya sasa.
Hili, kama hilo la kwanza, liko wazi na linafahamika sana na wote wenye akili timamu, i.e. common sense.

Solutions:-
Je ungependa kujua "seriously" njia ya kuyatatua hayo matatizo, bila unafiki?
Liko jibu moja tu sahihi; na kupitia hilo majibu mengine sahihi yatapatikana maeneo yote.

1. Ipatikane Katiba Mpya kabla ya uchaguzi ujao 2025.
 
Umesahau kuweka namba ya simu
 
Liko jibu moja tu sahihi; na kupitia hilo majibu mengine sahihi yatapataka maeneo yote.

1. Ipatikane Katiba Mpya kabla ya uchaguzi ujao 2025.
Uko sawa
 
Back
Top Bottom