Masele keshasema show show ama kitawakajamiiforum inaiwakilisha jamii katika uhalisia wake kwenye jambo lolote lile .. Utafiti wowote unaofanyika hapa matokeo yake ndio uhalisia uliopo kwenye jamii
Sasa kuelekea maandamano ya 77 keshokutwa kura itakayopigwa hapa.. Matokeo yake ndio yatatoa uhalisia wa kitakachojiri siku hiyo
huenda ni maandamano ya AI JF, fesibuku, ig, na xjamiiforum inaiwakilisha jamii katika uhalisia wake kwenye jambo lolote lile .. Utafiti wowote unaofanyika hapa matokeo yake ndio uhalisia uliopo kwenye jamii
Sasa kuelekea maandamano ya 77 keshokutwa kura itakayopigwa hapa.. Matokeo yake ndio yatatoa uhalisia wa kitakachojiri siku hiyo
Wamepanick aisee sijui wanacho ogopa ni nin kama wao wanatenda haki..Mpaka wanamtumia mwaipopo kutisha watuπ
Tanzania ime-prove kwamba tuna viongozi ambao walitakiwa waongoze hii nchi kipindi cha stone age na sio kwa wakati huu.Kwenye hili tishio la maandamano ya 7/7 nimejifinza kitu kuwa watawala ni waoga sana.
Wamewekeza nguvu nyingi sana kwenye tishio hili.
Kuna uhalisia kutokana na past experience kama kampeni za NO REFORMS , Uchaguzi wa CHADEMA nkSidhani kama matokeo ya hapa yanaweza kukupa uhalisia wa mitaa.
Nachojua kama kuna watu walikuwa sehemu ya maandamano ya october 29 kutoka humu hawazidi 50.
Sema ninachofurahia serikali ina watu wa hovyo kweli.Just imagine nguvu wanayotumia kujaribu kuzuia maandamano ambayo hayana kiongozi na dhima ya kuandamana zaidi tu ya kila mtu kusikia kwenye mitandao
Kunguru sasa wanavyotoa vitisho na sauti zao kwa kwa kwa huku wanapaa na hapo ni wamesikia mruzi tuπππ
Yeah inawezekana tafita za nyuma zilitoa matokeo ambayo yalikuwa sawa.Lakini kwa hapa bado na mashaka.Na sababu ni kwamba:Kuna uhalisia kutokana na past experience kama kampeni za NO REFORMS , Uchaguzi wa CHADEMA nk
Muda husema ni hapo kesho kutwa kwa sasa tuupe muda wakatiπͺπΏβπΏKuna msitari mwembamba kati ya kutokea au kutokutokea. Nikijaribu ku scan sioni kama yatafanyika.
Muda husema ni hapo kesho kutwa kwa sasa tuupe muda wakati
Mvutano huu unaonyesha jinsi suala la tarehe 7/7 lilivyogusa hisia tofauti: upande mmoja ukiona ni hitaji la lazima la mabadiliko ya kidemokrasia, na upande mwingine ukihofia kuvunjika kwa amani na kuporomoka kwa utulivu wa kiuchumi.Yeah inawezekana tafita za nyuma zilitoa matokeo ambayo yalikuwa sawa.Lakini kwa hapa bado na mashaka.Na sababu ni kwamba:
I:Waandamanaji wamechagua njia ya kizqmani kuitisha maandamano(No leadership,No theme.Easily suppressed by government)
II:Watawala wamekuwa more aggressive kwenye hili jambo kabla hata halijatokea na wanaonyesha kuja kutumia hizo primitive and violent approaches kuzuia haya maandamano(kama ujuavyo:Watanzania ni waoga na wanafiki)
Ndio maana nasema bado na mashaka and probably my vote is NO(Hakuna maandamano kwa sasa)