Hisia za jamii kuelekea 7/7: Je maandamano yapo au hayapo?

Hisia za jamii kuelekea 7/7: Je maandamano yapo au hayapo?

Je maandamano ya 77 yatakuwepo?

  • A. Ndio

    Votes: 64 50.0%
  • B. Hapana

    Votes: 33 25.8%
  • C. Sijui

    Votes: 31 24.2%

  • Total voters
    128
  • Poll closed .
Tanzania ime-prove kwamba tuna viongozi ambao walitakiwa waongeze hii nchi kipindi cha stone age na sio kwa wakati huu.

Hivi unapata wapi nguvu ku-parade wanajeshi mitaani kwa kitishio cha maandamano ambayo kiongozi hajulikani.Na kama kiongozi hajulikana wa maandamano maanake yake ni kwamba watu wamejipanga kupiga ambush sio,sasa kama ni ambush huwa haina mjanja ukiwahiwa umekwisha(akawaulize wanajeshi wanao kwenda kwenye mission za ulinzi wa amani ambush ni nini)
Sasa hivi kila check point utakuwa Askari kibao na kuuliza National ID
 
Mvutano huu unaonyesha jinsi suala la tarehe 7/7 lilivyogusa hisia tofauti: upande mmoja ukiona ni hitaji la lazima la mabadiliko ya kidemokrasia, na upande mwingine ukihofia kuvunjika kwa amani na kuporomoka kwa utulivu wa kiuchumi.
Hebu tuupe muda wakati...!
Yeah muda huwa na maelezo ya kila jambo lakini katika hili lazima tuangalie uhalisia kwanza.

Kwamfano hiyo tarehe 7 nikasema nataka kuwa sehemu ya maandamano(kuhusu dhamira naweza kutengeza za kwangu,maana sipendezwi na watu kutekwa,mauaji ambayo yanatopeza rasimali watu,abuse of power na vinginevyo) lakini utata unakuja naanzia wapi na kuelekea wapi?

Kutoka mwenyewe sio shida lakini nikiwa peke yangu si ntaonekana kichaa(I mean,mamlaka ni rahisi kushughulika na mimi tofauti na ambapo tungekuwa na kiongozi na tayari watu wamekula kiapo kwamba hiyo tarehe hakuna kurudi nyuma)
 
Sasa hivi kila check point utakuwa Askari kibao na kuuliza National ID
Ndio maana nasema viongozi wetu ni wapumbavu kuanzia kiongozi mkuu.Hizi njia wanazotumia ni primitive na zakizamani sana.

Ningekuwa kiongozi wa haya maandamano.Ningeshauri watu watumie passive approach(kuepusha umwagikaji wa damu maana serikali watakuwa violent)

Ningeshauri watu wasitoke barabarani lakini kuanzia sasa;anayeweza kukwepa kulipa kodi afanye hivyo(zinatumika vibaya),sera zao zote zikatae na mengineyo(Ni approach mbaya kwa maana itaumiza wengi lakini hakuna namna)

Dhuluma zinafanyika hadharani hakuna msaada,watu wamepoteza wapendwa wao hakuna uwajibijakaji,madaraka viongozi wanaytumia vibaya hakuna wa kuwauliza then what next.Wage passive resistance(destroy whatever you can,we can all learn a lesson in that way)
 
Yeah muda huwa na maelezo ya kila jambo lakini katika hili lazima tuangalie uhalisia kwanza.

Kwamfano hiyo tarehe 7 nikasema nataka kuwa sehemu ya maandamano(kuhusu dhamira naweza kutengeza za kwangu,maana sipendezwi na watu kutekwa,mauaji ambayo yanatopeza rasimali watu,abuse of power na vinginevyo) lakini utata unakuja naanzia wapi na kuelekea wapi?

Kutoka mwenyewe sio shida lakini nikiwa peke yangu si ntaonekana kichaa(I mean,mamlaka ni rahisi kushughulika na mimi tofauti na ambapo tungekuwa na kiongozi na tayari watu wamekula kiapo kwamba hiyo tarehe hakuna kurudi nyuma)
Kwamfano hiyo tarehe 7 nikasema nataka kuwa sehemu ya maandamano(kuhusu dhamira naweza kutengeza za kwangu,maana sipendezwi na watu kutekwa,mauaji ambayo yanatopeza rasimali watu,abuse of power na vinginevyo) lakini utata unakuja naanzia wapi na kuelekea wapi?🤔🤔✍🏿
 
Hakuna maandamano, huku mtaani wananchi hawataki hata kuyasikia, Tanzania hatujazoea hayo mambo na msitupeleke huko, nyanya moja iliuzwa shilingi elfu 2, petrol lita moja iliuzwa elfu 20, hakuna kutoka nje ni ndani tu, bado walioibiwa na kupoteza ndugu zao, HAKUNA MAANDAMANO, period!
 
Mshana hapo ndiyo umegusa sehemu sahihi sana panapokuwa kikwazo kwa wananchi wengi.

Hata wana ccm Kuna watanzania hawakubaliani na mambo yanavyoendeshwa lkn hawajui wataanzia wapi kuwaonyesha watawala kuwa inawakosea?
 
Mkuu Mshana Jr Watanzania tumerogewa sauti hazitoki
downloadfile.jpg
 
Hakuna maandamano, huku mtaani wananchi hawataki hata kuyasikia, Tanzania hatujazoea hayo mambo na msitupeleke huko, nyanya moja iliuzwa shilingi elfu 2, petrol lita moja iliuzwa elfu 20, hakuna kutoka nje ni ndani tu, bado walioibiwa na kupoteza ndugu zao, HAKUNA MAANDAMANO, period!
nyanya moja iliuzwa shilingi elfu 2, petrol lita moja iliuzwa elfu 20🥺🥺🥺 Wapi huko..!? BTW mada imeweka hojaji nq si mtazamo au ushawishi
 
Back
Top Bottom