Sasa ndiyo utajua mambo unayofanyaga wewe ni fake km zile hadithi zako za kubuni. Wengi walioko humu JF ni nyumbu, wafuasi wa chadema hutapata uhalisia wowote humu zaidi ya ushabiki. Kwanza hiyo haiitwi maandamano, hizo ni vurugu, ghasia, uhalifu unaohusisha wizi, uvunjaji na uchomaji wa mali. Sijui unafeli wapi kuelewa maana ya maandamano, sema ukishakuwa mfuasi na mshabiki wa chadema huwezi kuendeshwa na akili zaidi ya hisia, mihemko, chadema imekuwa jambo hatari ni "CULT" ni imani hatari, wafuasi wa chadema ni sawa tu na waliokuwa wafuasi wa Joseph Kibwetere wa Uganda, wafuasi wa Paul Mackenzie wa Kenya au wale wasabato waliojazana uwanja wa ndege kwamba wangeenda Ulaya bila Visa, Passport wala nauli. Wewe umeandaa platform ya kupiga kura, matokeo yataonesha kutakuwa na maandamano yasipokuwepo kesho utatueleza nini kuhusu uhalisia unaouzungumzia, ACHA UTAPELI